UK yaichambua Tanzania, yaishangaa na kuibeza, tunaongoza kuombaomba kama nchi zilizokuwa vitani

tanzania hakuna uwajibikaji..hakuna ufuatiliaji wa namna kazi imefanyika....viongozi wanatumia vyombo vya habari kufanya kazi....akionekana kwenye tv anamkemea mtu mflani basi huko ndiko kufanya kazi...akionekana anakagua njia ulipowekwa mkongo wa taifa ..basi huko ndiko kufanya kazi....watu wengi ni wavivu na hawafanyi kazi...

serikali nayo ni lege lege...kuanzia rais hadi mtendaji wa kijiji....akili ya rais imejikita katika kuomba..anadhani nchi ikiomba misaada ndo itaendelea...wawekezaji wakija ndo nchi itasonga mbele....rais ni mwepesi wa kudanganywa....siku hizi anafanya biashara na kuacha majukumu yake kama rais...amejikita katika biashara zake....hana maono..haoni mbele...hashugulishi akili...hana maana kabisa...ni kweli tanzania inaomba sana kwa sababu kiongozi mkuu wa nchi anaamini na kuendesha nchi katika kuomba...

wezi hawawajibishwi...anawakumbatia..ni rafiki zake .....akili zake zimejikita zaidi katika kuwapa vyeo wale ambao wananchi wamewakataa...ndio hao amewajaza katika balozi mbali mbali dunian...nchi inayumba na sasa tunashika nafasi ya tatu duniani kwa kuomba....hii ni aibu kubwa sana....na ujinga wa hali ya juu
 
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..
Ukisema hivyo unakosea,kwani wewe hujui utajiri wa Tanganyika? je unamnufaisha mtanganyika?ni kwa nini tuwe ombaomba kiasi hicho? Maneno yako kwa kweli yamenitia kichefuchefu sana,mtanganyika yeyote mwenye akili timamu anaelewa fika matatizo ya nchi hii yenye maziwa na asali inaliwa na wachache wakilindwa na viongozi wetu baada ya kupewa shanga.Mfano mzuri ni pale majambazi walipotaka kupora dhahabu GGM kuna taarifa tofauti juu ya hiyo dhahabu,polisi waliokwenda kusaidia wanataarifa ya vipande vingi zaidi ya taarifa iliyotolewa na mtumishi wa serikali aliyekagua mzigo kabla ya kusafirishwa,hii tu inatosha kuelewa ni kiasi gani tusivyoweza kudhibiti mali ya Tanganyika au tunashirikiana nao kuiba,alafu wewe unatapika maneno yasiyo na maana humu ndani, ni bora usome na upite bila kuchngia tutakuelewa.
 
kuwa rais wa tz ni rahis sana na huna pressure kwani ktk wananchi maskini wa nchi hii wenyewe pia wamejigawa makundi mawili, moja linakusakama kua hufanyi chochote lengine linapambana na wale wanaokusakama cha kushangaza wote ktk makundi haya ni maskini cha kufanya we jitambulishe kua tu ni either muslam safi au mkristo safi! kama ukijitambulisha kua wewe ni muislam safi basi wale waislam maskini pia watakupigania dhidi ya makundi ya maskini wengine na kama wewe ukijitambulisha ni mkristo safi wakristo maskini watakupigania kua dhidi ya makundi ya maskini wengine! see how easy to rule this country!
 
nchi ya kusadikika, inaomba msaada kwa wazungu halafu inawapatia msaada wa malori wasudani.
 
Sasa naanza kuona mantiki ya hoja ya D Camerun, presidaa kazidi kuomba ndo mana alitaka kumgonga kwanza ndo ampe msaada...duh.
 
Wadau habari iliyochapishwa wiki tatu zilizopita kwenye media moja inaonesha UK ikiishangaa Tanzania na kusema kuwa yenyewe ni ya 3 Africa kwa uzalishaji wa dhahabu lakini inaombaomba kinoma kama iraq........hebu Soma kipengele hiki kisha ufuate link hiyo utashangaa mwenyewe. Yaibeza kusherekea miaka 50 ya Uhuru wakati tunafanya ujinga tu.

Tanzania is the third largest gold producer in Africa and is rich in mineral resources. Despite its mineral wealth, it is the largest recipient of development aid from Britain and has received in excess of US$2.89 billion in aid (from all donors) in its 50 years of independence. It is Africa's top and, the world's third leading recipient of aid after war-torn Iraq. It depends annually on foreign aid by 45 per cent, receiving US$453 million for its 2011/12 aid budget under the umbrella of General Budget Support (GBS). Despite these massive amounts of foreign aid, there has been no significant decrease in poverty over the last 20 years and the country is lagging behind on key development goals for safe water, income and health despite considerable economic growth. The 2007 Tanzania Household Budget Survey showed very little change in income poverty since 1991. Overall, in the 16 year period between 1991 and 2007, poverty fell by about five per cent. But most of this change can be explained by progress in Dar es Salaam. In rural areas, and other urban areas, the decline in poverty is too small to give confidence that poverty has actually fallen (Policy Forum-Tanzania). High economic growth in Tanzania has not been pro-poor.

Ili kuona jinsi wazungu hawa walivyotudadavua.....bonyeza hapa usione uvivu Tanzania – Is UK aid fuelling corruption? - In2EastAfrica - East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education

Ta muganyizi

Nashauri pia utafute andiko la Mwalimu Nyerere inayoitwa "Argue Dont Shout" aliyoitoa julai 1969. Katika andiko hilo, Mwalimu anezungumzia suala la misaada. Itafaa kusoma andiko hilo il uweze kuwa na 'balance argument'. Nanukuu aya moja tu hapa chini:

"....For self relience means only that self knowledge and self confidence. It does not mean isolationism; nor does it mean that we cannot accept help and cooperation from others if this can be obtained without humiliating conditions or outside control over things which are of exclusive concern to us. So called aid is often justified compesation. In the world which we live in,where the prices of primary products continuously fall-to the benefit of the rich- and those of manufactures rise-again to the benefit of the rich and detriment of the poor- "aid" is compesation. in a just world there would have been a built-in machinery which automatically compensates the poor countries against the inevitable disadvantages to them of the international trade. In the absence of auch automatic compesation, the little so-called "aid" which get is really out right, and its not enough! Not to take it on the grounds that it conflict with self reliance is absurd!"

Tafakari
 
Nadhani tatizo siyo kwa Mtanzani kutotaka kufanya kazi kwabidii,tatizo kubwa ni uwezo wa Mtanzania wa kawaida kuweza kufanya kazi.Mfano kijana aliyemaliza chuo kikuu anataka kwenda kulima au kuwa mkulima ataweza peke yake?Kilimo bila fedha huwezi kufanya kitu kwani kila kitu ni pesa PEMBEJEO,TRACTOR,FUEL,HATA KIBANDA CHA NYASI KINAHITAJI UWE NA PESA.
Sasa hata wakisema Watanzania ni waivu sidhani kama kuna ukweli ndani yake.Mfano serikali inapochukua maeneo yenye rutuba na kuwapa The so called "WAWEKEZAJI" hivi Watanzani hawawezi kuwa wawekezaji?Kama Serikali inaweza kuwapa hao WAWEKEZAJI maeneo na kuwawezesha kupata mikopo toka bank mbalimbali je kwa nini haiwezi kuwawezesha Watanzania WAZAWA?
Mfano halisi Wafugaji, je wanapanga bei ya bidhaa zao?(Nyama,Maziwa etc)
 
Ta muganyizi

Nashauri pia utafute andiko la Mwalimu Nyerere inayoitwa "Argue Dont Shout" aliyoitoa julai 1969. Katika andiko hilo, Mwalimu anezungumzia suala la misaada. Itafaa kusoma andiko hilo il uweze kuwa na 'balance argument'. Nanukuu aya moja tu hapa chini:

"....For self relience means only that self knowledge and self confidence. It does not mean isolationism; nor does it mean that we cannot accept help and cooperation from others if this can be obtained without humiliating conditions or outside control over things which are of exclusive concern to us. So called aid is often justified compesation. In the world which we live in,where the prices of primary products continuously fall-to the benefit of the rich- and those of manufactures rise-again to the benefit of the rich and detriment of the poor- "aid" is compesation. in a just world there would have been a built-in machinery which automatically compensates the poor countries against the inevitable disadvantages to them of the international trade. In the absence of auch automatic compesation, the little so-called "aid" which get is really out right, and its not enough! Not to take it on the grounds that it conflict with self reliance is absurd!"

Tafakari


katika mazingira ya leo hasa hapa tanzania ''AID is not compesation'' misaada mingi haiwanufaishi watanznaia wa kawaida isipokuwa inawanufaisha wakubwa serilaklini....wakati mwalimu anasema/kutoa kauli hiyo kwa miaka ile alikuwa sawa kabisa lakini sio leo....hivi na wewe hapo ulipo unaamini kwa leo hii aid is compesation?
 
Back
Top Bottom