Alafu??Bibi malkia wa UK na familia wathibitisha kuhuthuria sherehe zetu za kiswahili za uhuru wa miaka 50 ya Tanganyika.
bbc swahili.
...sherehe zitatugharimu over 10 billions, whilst wananchi wanakosa dawa,huduma bora za afya,elimu,maji, umeme miundo mbinu mibovu. . . .yet, tutaalika watu mashuhuri, tutawalipia Kempiski, double tree, moveñpick, . . . .na mbwembwe kibao na tutawapa zawadi warudi nazo kwao.