UK Royal family yathibitisha kuhudhuria 50Yrs of independence of Tanganyika

Bigirita

Platinum Member
Feb 12, 2007
15,990
7,364
Bibi malkia wa UK na familia wathibitisha kuhuthuria sherehe zetu za kiswahili za uhuru wa miaka 50 ya Tanganyika.

bbc swahili.
 
...sherehe zitatugharimu over 10 billions, whilst wananchi wanakosa dawa,huduma bora za afya,elimu,maji, umeme miundo mbinu mibovu. . . .yet, tutaalika watu mashuhuri, tutawalipia Kempiski, double tree, moveñpick, . . . .na mbwembwe kibao na tutawapa zawadi warudi nazo kwao.
 
Waje kuangalia upupu uliofanywa na serikali legelege ya ccm miaka50 iliyopita
 
...sherehe zitatugharimu over 10 billions, whilst wananchi wanakosa dawa,huduma bora za afya,elimu,maji, umeme miundo mbinu mibovu. . . .yet, tutaalika watu mashuhuri, tutawalipia Kempiski, double tree, moveñpick, . . . .na mbwembwe kibao na tutawapa zawadi warudi nazo kwao.

Hizi wangezinunulia vibajaji vya kubebea wagonjwa na matrekta ili kuwasaidia wakulima ambao ni wengi na wasio na vitendea kazi.
Ufujaji wa fedha za umma! Hata hatuhitaji darubini kulijua hili.
 
Du, kama kwenye msafara Prince Phillip atakuwepo, basi atatokwa na machozi!.

Huyu ndiye mume wa malkia na siku ile ya uhuru, ndiye alikuja akijiendesha mwenyewe kwenye kile kindege chake kidogo cha abiria wawili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom