UK Media vs Mashushushu: Vyombo vyetu vya Habari Vinaweza Kuthubutu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UK Media vs Mashushushu: Vyombo vyetu vya Habari Vinaweza Kuthubutu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kulikoni Ughaibuni, Jan 24, 2011.

 1. Kulikoni Ughaibuni

  Kulikoni Ughaibuni JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 12, 2007
  Messages: 234
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
  Makao Makuu ya MI6,London  Habari hii nimeitafsiri (kadri nilivyoweza) kutoka toleo la jana la gazeti la The Guardian la hapa Uingereza.Lengo la kutafsiri na kuiweka habari hiyo hapa bloguni ni kutoka changamoto kwa vyombo vyetu vya habari-hususan vya umma-kusimamia haki za jamii.Wengi wetu tumekuwa tukihudhunishwa na namna TBC,Daily News na Habari Leo,taasisi za habari zinazoendeshwa kwa fedha za walipakodi (pasipo kujali itikadi zao za kisiasa) wanavyoendesha shughuli zao kana kwamba ni vyombo vya habari vya CCM.Ikumbukwe kuwa vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa utawala wa nchi (pamoja na Bunge,Mahakama na Serikali),na hivyo kuwa na wajibu wa kutopendelea au kuegemea upande wowote dhidi ya maslahi ya umma.

  KULIKONI UGHAIBUNI: UK Media vs Mashushushu: Vyombo vyetu vya Habari Vinaweza Kudiriki?
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye highlight nadhani ulimaanisha huzunisha,unless otherwise naunga mkono hoja!
   
Loading...