Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Wamekwambia hilo neno ni kama 'Dogo' hadi wabongo wote walifahamu.... Angalia mwenzako hapo juu kalitumia kiufasaha zaidi.Sasa mbona hiyo lugha ya kitaa uijue wewe tu, yaani hata Watanzania wenzio hawaifahamu, lugha za mtaani zipo kote hata huku.