Ujumbe wenu Tanroads /tarura hii barabara ya Moga hapa Bunju Beach zibeni matobo

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,824
9,521
Nishashuhudia gari mbili zinavunja miguu ya mbele baada ya kuingia kwenye haya matobo ambayo yamejaa barabara nzima tena eneo la kona na mteremko....nchi nyingine raia anaweza kuishtaki mamlaka inayosimamia huo muundombinu ikiwa itatokea ajali na vipimo vya trafiki vikathibitisha sababu ni ubovu wa miundombinu. Zibeni haya matobo fasta yapo jirani na ukumbi wa APC pale nendeni mkazibe fasta.

Siwaombi ila nawakukbusha tu wajibu wenu.hiyo pichani ni sehemu ila hilo eneo lote halifai
20190911_190505.jpeg
20190911_190537.jpeg
 
Nishashuhudia gari mbili zinavunja miguu ya mbele baada ya kuingia kwenye haya matobo ambayo yamejaa barabara nzima tena eneo la kona na mteremko....nchi nyingine raia anaweza kuishtaki mamlaka inayosimamia huo muundombinu ikiwa itatokea ajali na vipimo vya trafiki vikathibitisha sababu ni ubovu wa miundombinu. Zibeni haya matobo fasta yapo jirani na ukumbi wa APC pale nendeni mkazibe fasta.

Siwaombi ila nawakukbusha tu wajibu wenu.hiyo pichani ni sehemu ila hilo eneo lote halifai View attachment 1208514View attachment 1208515
mkuu pia kuna kipande cha barabara inayotokea sinza makaburini kuja mataa ya PUMA , Kuanzia kwa Shafii dauda sports store kuna mashimo ya kufa mtu mwanzo mwisho... afu ni barabara kubwa tu ile maana hata gari za mkoa zinazopitia bagamoyo hutumia
 
Hapo pia kuna uzi wake humu
mkuu pia kuna kipande cha barabara inayotokea sinza makaburini kuja mataa ya PUMA , Kuanzia kwa Shafii dauda sports store kuna mashimo ya kufa mtu mwanzo mwisho... afu ni barabara kubwa tu ile maana hata gari za mkoa zinazopitia bagamoyo hutumia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom