Ujumbe wangu kwa serikali namna ya kupunguza msongamano na kuepusha ajali

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Serikali ya Tanzania na wananchi mnaona nchi za wenzetu wanavyo fanya kupunguza msongamano na ajali barabarani? Hapo hakuna ajali labda ujirushe mwenyewe.Tunatakiwa kuiga mfano huu nchini Tanzania. Hapa ni TURKEY

Mabasi yanayokwenda Speed.jpg
Metro.jpg
Metro bus istanbul.jpg
Metro bus turkey.jpg
metro turkey.jpg
 
Bajeti ya kujenga kingo ndefu ilikuwa finyu hivyo tukajenga vituo vyenye foundation ya kujenga ghorofa
Makisio ya haraka gharama za chini kabisa za kituo kimoja kidogo kuliko vyote ni usd 600,000/=
 
Bajeti ya kujenga kingo ndefu ilikuwa finyu hivyo tukajenga vituo vyenye foundation ya kujenga ghorofa
Makisio ya haraka gharama za chini kabisa za kituo kimoja kidogo kuliko vyote ni usd 600,000/=
Mkuu.Mshana jr aliyepewa Contract au mchora ramani ya barabara ndio aliye fanya makosa ndio maana kila siku ajali zinatokea kati ya mabasi ya Speed na magari ya kawaida. Huku Turkey hakuna ajali za kizembe kutokea kama huko nyumbani Tanzania.

Metro bado.jpg
Metro bankasi.jpeg
Metro istanbul.jpg
 
Tramvay.jpg
Tramvay metro.jpg
Treni za chini ardhi.jpg
Treni za chini ya ardhi istanbul.jpg


Treni za mjini zinazunguka mjini zipo Treni zinazo tembea chini ya ardhi na zingine Treni zinatembea juu ya ardhi
 
HATA UJENGEJE KWA BONGO NI SAWA NA HAKUNA BORA KUACHA WAZI TU; PALE DARAJANI KIGAMBONI PAMEZIBWA KABISA LAKINI KUNA MTU MAJUZ KALUKA AKAGONGWA.....YATUPASA TUJENGE KINGO KWENYE AKILI ZETU KWANZA KABLA YA BARABARA VINGINEVYO WATU WATARUKA TU
 
Nenda kajenge kwako barabara ya hivyo. Mradi ulianza mda mrefu sana. Kabla ya kumalizika ulikuwa wapi kushauri?

Sio kila kitu lazima uanishe thread. Shirikisha ubongo wako kabla ya kuandika.
'Unakwenda huku wanafunzi hewa, unakwenda huku wafanyakazi hewa, unakwenda huku barabara hewa, yaani kila kitu hewa haiwezekani, kwa hiyo Mzee wangu Kikwete umenipa kazi ngumu hii" Dr. Magufuli.
 
Mbona unakuwa kama kichaa. Hueleweki. Ulikuwa unatoa ushauri au ulikuwa unajishaua?
Tumia kichwa kufugia akili sio kichwa chako utumie kufugia mbolea.
Wewe unazungumza kama mlevi fulani maneno yako hayana point kabisa pole mlevi wa gongo..
 
Mleta mada kaleta na miujiza.
Hzo kwa nchi yetu mbona elimu tutaanza kulipia tena.
 
Ume panic. Hebu rudi usome thread yako kisha usome nilicho comment halafu ulinganishe na upepo unaotoa hapa.

Nina kuheshimu sana. Lakini unaenda tofauti lazima nikushauri.

Sio kila unachokipata kichwani uanzishe thread. Tumia akili kidogo.

Acha kuwa na akili za kuku. Nadhani akili zako zinashuka kwa kasi sana kama akili za Mbowe zinavyo zidi kupungua.
Wewe mjinga fulani soma kwanz aulivyo andika hapo juu mwanzoni. Unakumbuka hizo barabara alizijenga alikuwa nani Waziri wa ujenzi? na nani Rais wakati huo? ulitaka nimshauri waziri ajenge ninavyotaka mimi ? kwani Waziri hatembee nje ya Tanzania kuwaona wenzetu wanavyojenga Mabarabara? kama sio uzembe wa viongozi wetu kuwajibika? umenijibu pumbe wewe safiri uone wenzetu walivyoendelea nchi zao sio kuw aAfrika tu utakuwa mjinga usipo safiri ukisafiri utaelimika kielimu. Akili yako itafunguka utaona dunia jinsi ilivyo nzuri kuliko kuzembea hapo hapo nyumbani .
 
Mleta mada kaleta na miujiza.
Hzo kwa nchi yetu mbona elimu tutaanza kulipia tena.
'Unakwenda huku wanafunzi hewa, unakwenda huku wafanyakazi hewa, unakwenda huku barabara hewa, yaani kila kitu hewa haiwezekani, kwa hiyo Mzee wangu Kikwete umenipa kazi ngumu hii" Dr. Magufuli.
 
Nchi iko kwenye climax, viwanda, uda dart, watu, vitu hewa. Jamani hamuoni kama hzo ni blessings
 
Nchi iko kwenye climax, viwanda, uda dart, watu, vitu hewa. Jamani hamuoni kama hzo ni blessings
Hii nchi imefika pabaya sana.

Simu- Hewa

Wanavyuo- Hewa

Wasomi - Hewa

Watumishi - Hewa

Barabara - Hewa

Makalio-Hewa

Wapenzi - Hewa

Watoto-Hewa

Kumbe karibu tutaanza kula chakula Hewa.
 
Back
Top Bottom