Ujumbe wa Wz'bar nikuvunja Muungano hakuna jengine,Tanganyika haipo na Muungano ni Fake ya ccm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa Wz'bar nikuvunja Muungano hakuna jengine,Tanganyika haipo na Muungano ni Fake ya ccm.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Dec 8, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nimeiona hii clip ni ndefu sana lakini inavutia...:lol:
   
 3. P

  Paul J Senior Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si wabunge wa CUF waliungana na magamba kuupitisha muswada, sasa tusubirini tutakapofika njia panda ndipo ukweli utajulikana. Kimsingi Zanzibar kwa sasa CCM inaitumia kama chaka la kusakia urais ni bora waamue destiny ya nchi yao kama ni kuungana tukutane kwenye EAC, kwanini tulazimishe yasiyowezekana! Umoja wa ulaya (EU)si upo jamani, kwani wanatatizo gani! Wazanzibari daini nchi yenu na kuamua Muungano mnaoutaka.
   
 4. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Dr. mmoja anasema mswada huu HAUTAPITA na utaishia Chumbe....LMFAO
   
 5. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wazenji wanaimba ndani ya ukumbi kuwa hawautaki muungano naona ni bora uvunjwe tu...:poa
   
 6. m

  mpingiti Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Kwa nini Watanganyika wanalazmisha kuungana na Wanzanzibar? Si waungane na Uganda na Kenya tuu kama wanahamu ya Muungano. Kwani wawili hao wako karibu zaidi kimila desturi na hata kijiografia. Waachieni Wazanzibari nchi yao kabla mambo hayajaharibika, ujirani mwema unatosha.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  ikataeni kwanz accm huuko visiwani
   
Loading...