Ujumbe wa wazi kwa Pinda! -chonde ..fanya vinginevyo pisha!

Mbona taifa lenyewe halipo salama kama kuna idara ya 'usalama wa taifa?'. Watu wanawaweka vihiyo kwenye idara nyeti kama hiyo ya inteligensia afu unategemea taifa liwe salama? No. Noooooooooooooooo!
Kukubali hili, labda ubongo wangu ubadilike kuwa kamasi.

Mkuu hapo hadi title yako itakuwa ishabadilika mkuu, usiombee hiyo japo ni sure post!
 
Let me add something to this equation, something I wrote in the "Tracing Reports of Tanzania's Involvement in Arms Trafficking"...

Kama unataka kununua silaha na kuziuza kwa nchi zinazopigana na kujipatia utajidiri how do do you do it? Na hasa kama wewe ni "taifa la amani"?
 
Mkuu mmm.Huko unapoelekea naomba kusiwe kule ninapofikiri maana hili laweza kuwa kubwa mara elfu nane ya EPA
 
Mkuu mmm.Huko unapoelekea naomba kusiwe kule ninapofikiri maana hili laweza kuwa kubwa mara elfu nane ya EPA

believe me kwenye nchi yenye utawala wa sheria wa kweli, hili linatosha kabisa kuifunga serikali nzima. Believe me.. hili haliwezi kutatuliwa na serikali ya CCM. Ni bomu ambalo linasubiri kichaa tu anyofoe ile pini!
 
mimi naona hivyo hivyo we weka wazi kila kitu kila mtanzania ajue huna sabaubu ya kukaa nalo rohoni hata jeshini kukifanyika ubathiriifu ni lazima watu wawajibike tena nijuavyo mimi sheji ni sehemu ya nidhamu ya hali ya juu yaani sasa inafikia wakati watanzani wanahoji bunge na jeshi katika mihimili ya nchi yetu naniyuko juu ya mwenzake kama wanaogopa kuliweka wazi ina maana jeshi liko juu ya bungee?
 
freaking bazooooooka!!! Mkjj at it again.... this sheeee is gettin damn scary now!!!
 
Kama unataka kununua silaha na kuziuza kwa nchi zinazopigana na kujipatia utajidiri how do do you do it? Na hasa kama wewe ni "taifa la amani"?

hili JIPU nalo likipasuka litawasumbua sana!
nafikiri zama za 'kuburuzwa buruzwa' zinaelekea ukingoni sasa
 
I'm really bored, distressed and depressed so, I'm about to pull out the pin.. will start 2morrow. I besought the PM to address this issue he didn't so.. lolote litakalokuwa na liwe.
 
I'm really bored, distressed and depressed so, I'm about to pull out the pin.. will start 2morrow. I besought the PM to address this issue he didn't so.. lolote litakalokuwa na liwe.

Wewe joka la Kibisa acha mikwara mbuzi. Huna jipya nobody is taking you serious anymore with the exception ya wafunga vibwebwe wako.
 
I'm really bored, distressed and depressed so, I'm about to pull out the pin.. will start 2morrow. I besought the PM to address this issue he didn't so.. lolote litakalokuwa na liwe.

.... Go ahead son!!
.... Here are some gears from me to help you along the way:
Bulletproof_Vest07.jpg
2099.jpg
 
Wewe joka la Kibisa acha mikwara mbuzi. Huna jipya nobody is taking you serious anymore with the exception ya wafunga vibwebwe wako.

....Masatu, i think the more you rebuke Mkjj the more it shows how touched you're about what he says!
 
Quote:

Wewe joka la Kibisa acha mikwara mbuzi. Huna jipya nobody is taking you serious anymore with the exception ya wafunga vibwebwe wako.

but why?
why masatu?
 
mzee mtu kama huyo anawazuga tu.. unless ni mtu wa Mwang'onda. Sheria ya Usalama wa Taifa iko wazi juu ya kujitambulisha au kumtambulisha kuwa kuwa ni mtu wa usalama wa Taifa. Ni kosa kubwa kweli kisheria, kwenye nchi nyingine linabeba adhabu ya kifungo cha maisha!

Yapaswa kuwa hivyo kisheria lakini kimatendo ni tofauti kabisa. Toka recruitment ilipoanza kufanyika kwa mtindo wa ajira za kawaida heshima na umakini wa UWT umeshuka sana. Ninao rafiki zangu kadhaa, ni vijana wa RO na kila mara wananiropokea assignments zao. Nikibisha tu wanatoa vivid evidences.Humu kuna lolote kiapo kweli?!
 
Halafu Mh. Zitto Na Mh. SLaa nao wangetusaidia bungeni kuuliza

JE Tanzania masuala ya usalama wa taifa yako nje ya katiba iliyotoa ABSOLUTE OVERSIGHT Kwa BUNGE kuisimamia Serikali???????
 
Back
Top Bottom