Ujumbe wa wazi kwa Mhe. Edward Lowassa: Uchaguzi ni wako

Lowassa ni kipenzi cha mke wake na familia yake, at least hilo tuna uhakika nalo.
Watanzania wengine tungefarijika kuelewa kiini cha utajiri wake na umahiri wake wa kutengeneza fwedha(akiwa serikalini) ulikotoka ili na sisi tumpende.

Mkuu nakugongea senksi. Watu wanajaribu kuleta mlolongo wa orodha ya mafanikio ambayo hayana kichwa wala miguu kwa sababu suala la shule za kata ulikuwa ni mpango wa serikali yote na yeye kama waziri mkuu alikuwa na wajibu wa kulisimamia (kama ilivyo Kilimo Kwanza na Pinda). Hili suala la Halmashauri kumuogopa ni la kweli kwamba kwa vile yeye alikuwa na hulka ya kufokea watu na kuwajengea hofu walikuwa na haki ya kumuogopa lakini ufanisi haukuwepo na wala hakuwahi kudhibiti ubadhirifu uliokuwa umekithiri na ndiyo maana halmashauri zilizokuwa na hati chafu zilikuwa nyingi sana tofauti na sasa hivi ambapo halmshauri nyingi zina hati safi na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa inafanya kazi vizuri kuliko wakati wake. Kwa ujumla hatuna lolote la kukumbuka wakati wa Lowassa zaidi ya kutajirika kwake na wizi aliowafanyia watanzania kwa phantom projects zake. Wanaosema alikuwa muungwana kwa kuachia uwaziri mkuu, wamuangalie usoni ndipo wataona hasira alizo nazo baada ya kuwa nje ya serikali kwa muda huu. Alichofanya yeye ni kama mlinzi anayelazimishwa kujifunga goli na forward machachari (ambaye kwa kesi hii ni Kamati ya Mwakyembe). Ndo maana alilia lia sana kwenye hotuba yake.
 
lowasa kweli ni gamba lakin lakin wadau tukubali huyu jamaa ni mtendaji wa ukweli, hata alipokuwa PM kweli watendaji waliokuwa chin yake walikuwa wanawajibika vya kutosha, lakin kwa sasa utadhan hatuna mtu ambaye alichukua nafas yake. kwa upande wa pili ni kweli ana madhaifu na kashfa za ufisad, ajipime mwenyewe aone kama anadeserve kuwa president wa bongo kupitia chama kingine akijiona anafaa agombee tu


A big crap man!
 
Simple research kujua jibu mtoe Lowasa nje ya moduli au arusha
eg

Mpeleke Lowasa na Pinda na Zitto kabwe kama wagombea ubunge pekee katika majimbo haya. tena bila k kmapeni.


  • Mwanza
  • tabora
  • Dodoma
  • Bukoba
  • Shinyanga
  • Ilala, Dar au Kinondoni
Katika hayo majimbo yeote hata nafasi ya Pili Lowasa hawezi kushika......

Hata ungemuongeza chenge kwenye list bado Lowasa atakuwa wa Mwisho.

Hiyo ndo hali ya Lowawa ni just Media ndo inamuweka barabarani.

A wonderful hypothesis. Mkuu umemaliza yote kwa maneno machache sana ...Media creation!
 
The funny thing about Lowassa ni kwamba hiyo tisha tisha yake na the so called influence ipo huko huko CCM. Na kama hii si kweli basi angekuwa amejichomoa siku nyiingi huko. Kinachosikitisha ni pale hii vita ya wanaCCM inapolazimishwa kuonekana kuwa ni mgongano wa wananchi woote in Tanzania. Na eti kwamba huko CCM pamoja na kufahamu ufisadi wa Lowassa na mabaya yake mengine hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu amenunua watu, wamiliki na wahariri wa vyombo vya habari. What a lame execuse????????? Serikali ni ya CCM, Lowasa yuko CCM na ni mbunge wa CCM, huyu alipigiwa kampeni hata na mwenyekiti wa CCM. Hatima ya Lowasa kisiasa so far iko CCM and therefore kwa sababu mleta thread ni mwanachama mwaminifu na mtiifu wa CCM ingekuwa bora akapeleka hoja hii CCM.
 
Lowasa hatofautiani sana na Viongozi wetu walio madarakani na hata wale wanaofikilia kuwa madarakani hapo baadae kupitia CCM. Tumpe nafasi atubu, atuponye majeraha aliyotusababishia. Lowasa anaonekana anakubali kukosolewa, nani asiyekuwa shahidi kwa hili. Alikubali kuachia U-waziri mkuu, hivi karibuni atakubali kuachia U-CCM. Ameonyesha mfano nzuri kwa wenzake, ingawaje wao hawataki kufuata nyao zake. Pia namwona Lowasa kama kiongozi mzuri nikimlinganisha na BOSS wake Kikwete, ana ndoto na anaweza kusimamia mipango yake, moja kati mipango yake ilikuwa kumweka KIkwete madarakani na kumtumia atakavyo, kwa kiasi kikubwa amelitimiza hilo, alisimamia Richmond na Dowans amefanikiwa pia. alisimamia ujenzi wa shule za sekondari kila kata, hili halina ubishi amefanikiwa japowatoto wake hawasomi huko. Kwa maoni yangu Lowasa ni kipenzi cha watanzania zaidi ya wenzake ndani ya CCM.

Baba hii analysis umeifanyia kazi vya kutosha? Mbona inakinzana na ukweli wa mambo? Jiridhishe kwanza
 
Naona kuna kundi la watu wamelipwa na huyu fisadi papa ili wampigie campain kwa kumsafisha pamoja na uozo wake.

Huyu alijiuzuru kwa manufaa ya umma hafai kabisa!

Ofisi na madara makubwa alipewa aliyatumia kwa manufaa yake binafsi.

WaTANZANIA watakuwa wenda wazimu sana kumpendekeza huyu mtu awe rais
 
Umetumwa baba na NAPE, haya nenda ofisi za CCM ukachukue posho kwa kazi uliofanya ya kuandika upuuzi.
 
Bora huyo kuliko H,Mwinyi na Asha Migoro.hata hivyo,bado una uhakika rais 2015 atatoka Ccm?POLEEE.
 
Naona kuna kundi la watu wamelipwa na huyu fisadi papa ili wampigie campain kwa kumsafisha pamoja na uozo wake.

Huyu alijiuzuru kwa manufaa ya umma hafai kabisa!

Ofisi na madara makubwa alipewa aliyatumia kwa manufaa yake binafsi.

WaTANZANIA watakuwa wenda wazimu sana kumpendekeza huyu mtu awe rais

Nani kakwambia tunataka raia wa "uingereza" aje kutuongoza?
much less from ccm,napata taabu kweli kuliandika jina hilo
 
bila tume huru ya uchanguzi na katiba mpya
bila rushwa kwenye uchaguzi kukomeshwa


anaweza kutuongoza huyu jamaa, mifano tumeiona uchaguzi huu njisi mambo yalivyokuwa.
 
Naona kuna kundi la watu wamelipwa na huyu fisadi papa ili wampigie campain kwa kumsafisha pamoja na uozo wake.

Huyu alijiuzuru kwa manufaa ya umma hafai kabisa!

Ofisi na madara makubwa alipewa aliyatumia kwa manufaa yake binafsi.

WaTANZANIA watakuwa wenda wazimu sana kumpendekeza huyu mtu awe rais

stupid thread
 
kumbe jibu 2naro sasa shida iko wapi. kama ujui ugonjwa ndo una agaika rkn kama ukijua una wasi wasi sasa.
 
Back
Top Bottom