Ujumbe wa Tahadhari kutoka Hospitali ya Taifa

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
UJUMBE KUTOKA HOSPITALI KUU YA TAIFA
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama; saratani ya kizazi imeenea tafadhali epuka kuosha sehemu zako za siri kwa kutumia sabuni, osha kwa kutumia maji tu, kuna kemikali mbali mbali kwenye sabuni ambazo kiujumla wake ni hatari sana naupo uwezekano zinasababisha saratani ya kizazi, kesi za saratani ya kizazi zimatapakaa katika hospitali nyingi kubwa kwa hiyo tahadhari na ujumbe huu muhimu.
Kama unawaonea huruma wafikishie ujumbe huu ambao pia ni muhimu kwako.
⭕ Wasichana 56 wamefariki kwa kutumia (Pedi) Whisper, Stayfree nk.

⭕ Usitumie pedi moja kwa kutwa nzima kwa sababu kemikali zilizotumika (kuitengenezea) inabadilisha maji maji na kuwa rojo rojo ambayo inasababisha saratani katika kibofu cha mkojo na kwenye fuko la uzazi. Kwa hiyo tafadhali jaribu kutumia pedi zilizotengenezwa kwa kutumia pamba, au kam unatumia aina nyengine ya pedi tafadhali angalau badilisha kila baada ya masaa matano kwa siku. Unapopitiliza muda damu (iliyopo kwenye pedi) hugeuka rangi na kuwa ya kijani na kuotesha ukungu (fungus) unaoingia ndani ya fuko la uzazi na kwenye mwili.

⭕ Tafadhali usione aibu kuusambaza ujumbe huu kwa wasichana na hata kwa wavulana watakao usambaza pia kwa marafiki zao na wake zao wanaowajali.

⭕ DHAMIRIA

Kutokomeza saratani ya matiti "Breast Cancer".

🔺 Mtunze mtoto wako (Kumuweka nadhifu).

🔺Fua sidiria yako kila siku.

🔺Epuka kuvaa sidiria nyeusi wakati wa kiangazi (Summer).

🔺Usivae sidiria wakati wa kulala.

🔺Usivae sidiria zenye chuma kwa muda mrefu.

🔺Unapokuwa juani ziba kifua chako chote kwa mtandio au kitambaa (Scarf).

🔺Tumia deodorant na usitumie Anti Perspirant.

Kwa faida yako. "Deodorant ni manukato yanayotumika kupaka chini ya kwapa kwa kuleta harufu nzuri na wakati huo huo sehemu ile ya mwili iliyopaka deodorant mwili kufanya kazi kama kawaida kwa kuruhusu vipenyo kupitisha jasho. Wakati Anti Perspirant huwa haifanyi hivyo, kazi yake ni kuzui jasho lisitoke na kuifanya sehemu hiyo ya mwili kuwa kavu jambo ambalo ni hatari kiafya na linaweza kusababisha saratani".

🔺Ujumbe huu umetolewa na Hospitali ya Saratani ya Tata " Tata Cancer Hospitali" ipo India.

⭕ Ufikishe ujumbe huu kwa wanawake wote unaowajali bila kusita.

⭕ Kupeana mwamko ni muhimu.

⭕ Nakujali.

⭕ Tafdhali usisite kuwajulisha wanawake wengine na usambaze ujumbe huu kwa kila mwanamke aliemo kwenye orodha yako.

⭕ Nitaanza na wewe.
 
Shukrani mkuu, Umefanya wema unaofaa kuigwa, nami nitautoa bure na kwawatu wengi kadri nitakavyoweza bila hiyana. Ibarikiwe sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom