Ujumbe wa picha, maonyo, maoni, nasaha, ushauri na viburudisho

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,822
Hapa tutapost picha zenye ujumbe mbalimbali, wa kutuonya, kutuelimisha, kutukumbusha, kutuadilisha na kutuburudisha
 

Attachments

  • 26991757_10156131726711255_3342377110767605862_n.jpg
    26991757_10156131726711255_3342377110767605862_n.jpg
    13.4 KB · Views: 132
  • 31218589_165939384235742_567960582527909888_n.jpg
    31218589_165939384235742_567960582527909888_n.jpg
    16.2 KB · Views: 109
  • 22688005_1988095824735807_5220836350421558132_n.jpg
    22688005_1988095824735807_5220836350421558132_n.jpg
    25 KB · Views: 102
  • 1150159_1376531105908661_805078404_n.jpg
    1150159_1376531105908661_805078404_n.jpg
    11.7 KB · Views: 94
  • 26170030_1639333679459210_3119671441460996305_n.jpg
    26170030_1639333679459210_3119671441460996305_n.jpg
    13.6 KB · Views: 103
The more u see the less u know!

Dont worry about people thinking of u!
Because ur not in their mind.

Adden
 
Mimi, naam mimi, ndimi niyafutaye makosa yako Kwa ajili yangu mwenyewe wala sitazikumbuka dhambi zako. Unikumbushe tuhojiane, eleza mambo yako upate kupewa haki yako Isaya43 25-26
 
Sasa unatoka 'outing' kwa furaha nyumbani kwako unaenda sehemu ya starehe,umevaa hovyo hovyo,robo au nusu utupu,unajipiga picha,wenyewe wakiita sefie au ekotite,unaiangalia,unaikagua unaona umependeza,unarusha hewani,'mtandaoni ili mashabiki wako waone ulivopendeza.
Nyingine unatokea ukicheza muziki kwa furaha ,staha ikiwa mbali kidogo,ujana mwingi,uko na rafiki yako anakurekodi video, anakwambia atarusha mtandaoni,unaafiki maana unaona umependeza uwapagaishe mashabiki na wadau wako,ingawa video ile haina staha pia ,inarushwa.
Sasa badae unapata cheo,zile picha video ziko mtandaoni,watu kwa umaarufu wako wanaanza kurushiana mitandaoni jamani oneni flani alivopendeza,oneni hapa alivokatika muziki,sasa wewe ndo umekuwa muheshimiwa,sasa ndio unakumbuka picha zile hazifai,unaanza kutumia ubabe kutisha watu,oh ukikutwa utafungwa,oh kwa nini mnazirusha,maswali yanakuwa mengi, hivi siku zote zikiwa mtandaoni mbona haikuwa nongwa?
Na kwa nini tulazimishwe kumuheshimu MTU? Kwa nini yeye asijiheshimu kwanza?
Funzo kwa vijana,halahala na mitandao,jihesh
imuni maana hamjui kesho yenu,msije sababisha askari wa kaisari kuwatia wenzenu makovu kwa uonevu tu sababu ya upumbavu mlioufanya wenyewe jana!!!!
 
inuka uangaze
 

Attachments

  • IMG-20180806-WA0103.jpg
    IMG-20180806-WA0103.jpg
    186.2 KB · Views: 65
  • IMG-20180806-WA0103.jpg
    IMG-20180806-WA0103.jpg
    186.2 KB · Views: 66
  • IMG-20180806-WA0089.jpg
    IMG-20180806-WA0089.jpg
    43.6 KB · Views: 46
Back
Top Bottom