Ujumbe wa picha kwa walio bomolewa Mabondeni

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,643
3,299
inatia huruma kwa kweli
 
Attachments

  • 1451921340313.jpg
    1451921340313.jpg
    50.8 KB · Views: 150
  • 1451921381561.jpg
    1451921381561.jpg
    41.1 KB · Views: 126
  • 1451921414312.jpg
    1451921414312.jpg
    80.9 KB · Views: 139
  • 1451921438000.jpg
    1451921438000.jpg
    51.5 KB · Views: 109
  • 1451921461174.jpg
    1451921461174.jpg
    49.5 KB · Views: 93
  • 1451921487910.jpg
    1451921487910.jpg
    45.4 KB · Views: 93
  • 1451921525543.jpg
    1451921525543.jpg
    39.7 KB · Views: 104
  • 1451921558046.jpg
    1451921558046.jpg
    17.1 KB · Views: 104
Mimi nawashauri watu tutii sheria za nchi, sio kukaa kishabiki shabiki tu...hilo jambo halifai kabisa, watu wale wa mabondeni wanaishi maisha mabaya sana yasiyofaa hata kidogo, ni vyema wakae sehemu nyingine sio hapo, na wale mnaopanga kuingia mabondeni kujenga muache...utii wa sheria unasaidia nchi kuendeshwa vizuri bila kuonea mwenye nacho na asienacho, utii wa sheria utawabana watu walipe kodi,utasabasababisha wezi wa dawa waache mana wanajua watafungwa, ukishangilia afisa wa serikali alieiba kontena akikamatwa huo ni uzalendo, polisi akikamata jambazi huo ni ushujaa na tumtie moyo, na jambazi akifikishwa mahakamani akafungwa hilo ni jambo jema linaokoa nchi dhidi ya maovu, acheni kushabikia maovo ya watu wenzenu kukaa mabondeni huku mkijua ni kinyume cha sheria wasaidieni na nyie wote mbadilike,ipende nchi yako kwa kufanya yaliyo mazuri kwa sio kwa ajili yako tu hata na vizazi vijavyo, suala la watu kujijengea hovyo halikubaliki ndio mwanzo wa foleni zisizoisha,uhalifu wa watu kuwawa kwenye foleni, msongo wa mawazo, na mambo mengi yasiyofaa kijamii,kiuchumi,na hata maendeleo pia.

Natoa wito kwa watanzania wenzangu wote usirubuniwe jenga sehemu salama na fuata utaratibu,wasaidie viongozi wako na Tumuombee na kumsaidia Rais wetu ili watu watekeleze sheria.
 
AMEEN
 
Acha walie weee! mwaka huu hata habari za vilio na maafa ya mafuriko zitakoma
 
Acha upumbavu wewe,sisi tunaishi huku miaka nenda rudi,na tuanfanya shughuri zetu za kiuchumi kila siku,sasa pumbavu kama wew unashabikia tu watu kuvunjiwa kwani we ndio unaishi huku?
 
Matusi hayajengi nadhani ungesoma ukaelewa nilichoandika sio lazima kila mtu akubaliane na mawazo yako.acha matusi hapa unajenga hoja na kujibiwa kwa hoja..
 
Back
Top Bottom