Ujumbe wa Nyumba ndogo watumwa kwa Mama Mkwe- Ungejuwa wewe ungefanyeje?

Asingempigia..,baada ya kuona msg imekwenda angetupa simu na laini afu unatafuta simu nyingine unampigia wife unamweleza simu imeporwa na vibaka kama masaa mawili yaliyopita sasa umenunua kasimu kengine kwa muda ili muwasiliane...hayo mengine ungewalaumu hao walikuibia simu kwa kukuchafulia jina kwa mkwe..
 
Wakuu wanajukwaa,
Natumaini wote mpo fine. Jamaa yangu ambaye tumeoa nyumba moja, (yeye kaoa Mkubwa, mimi mimeoa mdogo mtu) kakosea alitaka kutuma ujumbe kwa nyumba ndogo yake badala yake akatuma kwa Mama Mkwe wetu. Ujumbe wenyewe unataja kiungo cha uzazi cha mwanamke kwa jina lake kabisa. Nanukuu lakini kwa kwa kuwa hili sio jukwaa la wakubwa nitaweka nyota sehemu husika. Ujmbe wenyewe uko hivi;

"K*** acha iitwe K***. K*** inakupa kazi, k*** inagombanisha wanaume, k*** inaliza watu na heshima zao, K*** inajenga nyumba, k*** inatoa watoto."

Jifanye hali hii imekukuta wewe, ungefanyeje?
My take: Ndugu wanajukwaa tuwe makini sana na hizi message tunazotumiana kama mzaha

Ningekuwa mimi Ningezima simu ba ningerudi Fasta Home kuanza kulalamika kuwa nimeibiwa simu ili ionekane kuwa mwizi ametuma msg aikokujua!!!
Na kuweka mazingira ya kuwafahamisha ndugu wa karibu na kwa vyovyote habari zingemfikia hata huyo mkwe wake na kutoa/kupunguza hiyo aibu ya Mwaka!!!
 
Simple:

Amtumie wife wake kwanza. Then amtumie mama apology SMS kuwa alikuwa anamtumia wife bahati mbaya kachanganya namba lakini ameshamtumia wife tayari.
Duh! Bonge la move hapo, inaonesha uzowefu fulani wakujiokoa katika hatari...
 
Dah! Makubwa hayo
ana mke nyumba ndogo ya nn? Isingekuwa nyumba ndogo isingeenda kwa ma mkwe, ushauri angesimulia mke wake nakumwambia wakaangalia jins ya kumwambia mkwe wake wake
 
Asingempigia..,baada ya kuona msg imekwenda angetupa simu na laini afu unatafuta simu nyingine unampigia wife unamweleza simu imeporwa na vibaka kama masaa mawili yaliyopita sasa umenunua kasimu kengine kwa muda ili muwasiliane...hayo mengine ungewalaumu hao walikuibia simu kwa kukuchafulia jina kwa mkwe..
Hilo nalo neno, hakika kuna watu mabingwa wa kuvunga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom