Ujumbe wa Leo (Muhimu sana)

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Rafiki mwema:
1. Atakuwa mkweli kwako
2. Atakustiri na mambo yako
3. Atakushauri vema
4. Atakwambia makosa yako
5. Hatakusengenya
6. Hatakupotosha
7. Hatakuchonganisha na ndugu au
marafiki zako
8. Atakutetea mbele ya adui zako
9. Atajali na kupenda family yako

Na Khamis Kagasheki!


bce770e6f98bcacbe9469d09ccb4f6f8.jpg
 
Back
Top Bottom