Ujumbe wa "Kwa hisani ya watu wa Marekani" Lengo lake ni nini haswa?

Maana yake ni msaada by the American People. Neno hilo liko kwenye masherti ya msaada wa Marekani. Mradi wowote funded by the American, kuna kibao na bendera mbili ya Tanzania na American zimekaa mshazali.
P
 
Miaka kadhaa ya nyuma hilo andiko halikuwepo ...why now na linalenga kuachieve nini?
 
Wakati mkitumia kodi zetu kwenye mambo yenu ya kijinga mnajisifu kuwa ni hela za Magufuli, sasa wenzenu wenye akili timamu wanatambua kodi za wananchi wao ndio maana kila hela ni mali ya raia na sio chama na Rais malaika.
 
mbona fedha hiyo inapotumika marekani hakuna mabandiko hayo?
 
Miaka kadhaa ya nyuma hilo andiko halikuwepo ...why now na linalenga kuachieve nini?
Haya ni mambo ya visibility tuu kuonyesha identity ya marekani kuwa pesa ya Mmarekani imetumika. Ukikataa kutumia, hakuna kupewa pesa.
Ni aina ya kutawala dunia. Hata misaada ya Japan na Uingereza
 
Tanzania imepokea misaada toka ilipopata uhuru kwa nini maneno haya yamekuja miaka hii ya karibuni?
Unauhakika yamekuja hiv karibun ? Musaada ilikuwepo toka huko nyuma. Ni kwamba ilikuwa haitangazwi. Lakin ukienda katika mirad husika, mikataba, majarida yanaonyesha aliedhamini mradi ni nani.
 
Hayo mabwenyenye ni kama yanatugombania kama vile kabla ya akina karl peters kabla ya kugawana ilikuwa taifa ambalo liliwahi fanya mkataba na nchi fulani automatically hilo ni kiloni lake.Hivyo pia hawa ili upewe koloni mbeleni itaangaliwa namna ulivyojihusisha nao
Basi kataenimisaada yao. Hawaja walazimisha kuichukua.
 
Haya ni mambo ya visibility tuu kuonyesha identity ya marekani kuwa pesa ya Mmarekani imetumika. Ukikataa kutumia, hakuna kupewa pesa.
Ni aina ya kutawala dunia. Hata misaada ya Japan na Uingereza
Wanazuoni wetu na wanasaikolojia wetu wanaonaje juu ya hilo?
Na jee tuendelee kukubali uhuni huu?Je na sisi tunaeeza kuweka sharti juu ya andiko hili kulinda utu wetu?
 
mbona fedha hiyo inapotumika marekani hakuna mabandiko hayo?
Si imetumika kwao kama ilivyopangwa? Nyinyi mkipewa mjue hazijatoka kwa mtu binafsi ila kodi za wananchi wa Marekani na mnatakiwa mtambue hivyo milele, mkipewa na mtu binafsi hamtayaona hayo.
 
Unauhakika yamekuja hiv karibun ? Musaada ilikuwepo toka huko nyuma. Ni kwamba ilikuwa haitangazwi. Lakin ukienda katika mirad husika, mikataba, majarida yanaonyesha aliedhamini mradi ni nani.
kwa nini hatukubakia na mfumo wa zamani?
Na kwa nini tusirudie kwenye mfumo wa zamani?
 
zamani fedha hizo zilikuwa zinatoka wapi?mbona hakukuwa na maneno haya?
Kihistoria tu ni kwamba baada ya uhuru hata ndege mbili za shirika la ndege miaka hiyo. Zile boeing za kwanza kabisa.. kuna moja ambayo marekani iliongeza pesa ndio ndege ikaweza kununuliwa.
(Kama ulikuwa hujui, misaada ilikuwapo toka zamani)
 
Si imetumika kwao kama ilivyopangwa? Nyinyi mkipewa mjue hazijatoka kwa mtu binafsi ila kodi za wananchi wa Marekani na mnatakiwa mtambue hivyo milele, mkipewa na mtu binafsi hamtayaona hayo.
kwa kutambua hivyo inawasaidia nini haswa?hakuna njia mbadala?
 
Kihistoria tu ni kwamba baada ya uhuru hata ndege mbili za shirika la ndege miaka hiyo. Zile boeing za kwanza kabisa.. kuna moja ambayo marekani iliongeza pesa ndio ndege ikaweza kununuliwa.
(Kama ulikuwa hujui, misaada ilikuwapo toka zamani)
hiyo ndege iliandikwa kwa "hisani ya watu wa marekani" ???
 
kwa kutambua hivyo inawasaidia nini haswa?hakuna njia mbadala?
Kwa kuwa mmezoea kuita mali za umma za CCM na Magufuli basi mnataka kuona wenzenu nao ni hamnazo kama mlivyoigeuza Ikulu ukumbi wa mikutano ya chama
 
Back
Top Bottom