Ujumbe wa Krismasi kutoka kwa Edward Ngoyai Lowassa kwa Watanzania

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
Merry Christmas!
 
Attachments

  • 20161225+083245.mp4
    724.7 KB · Views: 25
Dakika 47 zimepita toka ujumbe wake upostiwe na mimi ni tatu kuchangia! Duh! Hata jamaa zake wa ukawa wameanza kumchoka!

Soon itadhihirika jamaa kumbe ni LIABILITY!
 
Dakika 47 zimepita toka ujumbe wake upostiwe na mimi ni tatu kuchangia! Duh! Hata jamaa zake wa ukawa wameanza kumchoka!

Soon itadhihirika jamaa kumbe ni LIABILITY!
Hujaona hii habari toka jana?au ndio umepata bando leo?
 
Jitambue kijana mahakama imedhibitisha hakuna fisadi mpaka leo hii majaji hawana kazi ya kufanya nakushangaa unamganda lowasa wa wawatu .Fisadi ni wewe nenda mahakamani kafunguliwe mashitaka.
 
Afadhali huyu ametukumbuka watanzania lakini yule Jamaa yeye kawakumbuka clouds media
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom