Ujumbe wa JK kwa watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa JK kwa watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GeniusBrain, Mar 24, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ‘Ninawaomba viongozi wa dini msichoke kuombea na kuhubiri amani ya nchi yetu na upendo miongoni mwa wananchi wake.Jambo kubwa la kusisitiza hapa ni kuwataka watu wasibaguane kwa rangi,kabila,dini,maeneo wanayotoka ama itikadi za kisiasa. Haya ni miongoni mwa tunu ambazo Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliatuachia.Ndiyo siri ya amani na utulivu wa nchi yetu’

  Source : Face book
   
Loading...