Ujumbe wa Afande Sele kwa Bernard Membe

"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
Mwambieni huyo mvuta bangi awashauri waweke kwanza tume huru ya uchaguzi.
Polisi wawe huru.
Then walete makalio yao waone.
 
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
Sasa kama hakubaliki au anakubalika si mjadili kwenye vyama vyenu huko, hapa jukwaani inatuhusu nini hasa?. Hapa tujadili maslahi mapana ya nchi.
 
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
Membe anawatia jambajamba wakolomije hadi wanamuota yeye tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom