Ujumbe ukufikie wewe tapeli wa Web Hosting. jamani msiamini resellers wa kibongo, yamenikuta


J

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
249
Likes
291
Points
80
J

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
249 291 80
Wakuu,
Najuta kwanini sikununua Hosting Plan directly cutoff GoDaddy au Hostgator. Resellers wa kibongo ni majanga na ninakushauri usithubutu. Atakutumia Brochure yenye mbwembwe; mara ooho Blah Blah UNLIMITED, Blah Blah UNLIMITED:)…Ukilipa, miezi 2 mbele Domain inakula kwako na hapokei simu zako tena.

Huyu jamaa aliyenifanyia utapeli huu Henrish Luther Seng’enge (BSc, MCSA, CCNA, OCA, CISSP, CYBER SECURITY, CEH) CEO & Founder - ndivyo anavyojinadi kwenye hii Website yake: http://helmatechnologies.com

Miezi inakatika tu jbiu ni lile lile: vijana wangu wanashughulikiaaa…kumbe wizi mtupu, saivi hazibu WhatsApp wala kupokea Simu yangu. Domain yangu ni hii: http://www.intellimen.co.tz/cgi-sys/suspendedpage.cgi INASEMA SUSPENDED. Baada ya Kugoogle, majibu ni kwamba Website inakuwa suspended baada ya Host wako kufunga Account yako au yeye kusitisha huduma yake.


Nimempa siku 3 kuanzia leo: Asiporejesha Website yangu hewani basi arudishe hela yangu Otherwise na mimi namuandalia fataki ili aone uchungu wa kudeal na damage control. NITAMUANDAMA MITANDAONI NA KWENYE REVIEWS MPAKA ACHOKE maana nashinda ONLINE 24/7 (ndio ajira yangu)

Ujumbe ukufikie ndugu tapeli. Atakaye kutetea ana maslahi na wewe, hujui umenipotezea biashara kiasi gani kwa utapeli huo na kupoteza Website yangu nzima. I will fight you.
 
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Messages
4,751
Likes
1,521
Points
280
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2009
4,751 1,521 280
Pole mkuu, mm nilifanya kazi na KiliHost bila usumbufu wowote,
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
15,993
Likes
22,548
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
15,993 22,548 280
Pole sana aisee.

Kwa bongo hiyo ni kawaida sana.
 
John Cannor

John Cannor

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
1,469
Likes
1,809
Points
280
John Cannor

John Cannor

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
1,469 1,809 280
Ogopa tapeli lakini huyu Fisiemu kazidi.
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,997
Likes
6,428
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,997 6,428 280
Pole....
 
G

GEITA FARM

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2015
Messages
338
Likes
168
Points
60
G

GEITA FARM

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2015
338 168 60
Ngoja Aje Kujibu Tuhuma Zake Hapa Hapa Nimemuacha Paleee ... !
 
Baba Mbwa

Baba Mbwa

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
1,318
Likes
688
Points
280
Baba Mbwa

Baba Mbwa

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
1,318 688 280
pole ndugu wakamishaji hao
 
proxy

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
967
Likes
654
Points
180
Age
36
proxy

proxy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
967 654 180
Ni kweli Hosting wengi wa kibongo ni pasua kichwa ,kwa taahadhari kabla ya kuingia makubaliana hakikisha website yake imesajiliwa kisheria na mnaingianae mkataba.
 

Forum statistics

Threads 1,237,319
Members 475,533
Posts 29,284,392