Ujumbe toka ulaya kwenda kwa wa tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe toka ulaya kwenda kwa wa tz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Aug 18, 2009.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  Subject: FW: RE: MY NIGHTMARE IN TANZANIA
  Date: Tue, 4 Aug 2009 15:04:53 -0400
  From: Ray Bergen
  To: Lisana Koliskowski
  Hello Lisa
  I am glad to be back in America after such a disastrous trip to Tanzania. The most important thing was getting back home safely and seeing my family. The only thing I can assure you is that, I will never set my foot in that country, and will advice anybody planning to visit Tanzania to refrain from doing so. The nightmare started at the airport, when my luggage checked in from Amsterdam disappeared mysteriously in Dar es Salaam. And my inquiry with the airport authorities was forwarded to the police. At the police station (Central) I was told that I could not get help unless I bribe them $500, because they needed the money for fuel and other necessary needs to investigate the theft. Supposedly the police officer did not open the case and turned me to be the criminal, constantly coming to my Hotel room, asking me for money. In short all my four year work was lost with the laptop at the Airport.

  Came clearing the vehicle we were supposed to use in the research, from the agents to the customs authorities, the vehicle exceeded the actual cost. I would have paid $38,000 for a $16,000 vehicle. I could not bear being in such a corrupt country and decided to terminate my research, and left the vehicle uncleared after one month of struggle with the customs, who needed money after money and bogus letters. Supposedly these exuberant fees were not supposed to be there in the first place, because all registered NGO’s are supposed to be exempted from paying these taxes and fees, but then the deal had been cooked to rip Muzungu off. Being a Muzungu is being a cash cow in Tanzania.. They don’t even fucken know that we are trying to help them. I pity the African continent and her people, I am glad they did not confuse me with Albino

  Please advise any potential traveler to Tanzania to look for alternative country to visit, and if possible pass the message to the State Department as a warning to other Americans intending to visit this poor and corrupt country. I visited Botswana with my family in 2006. I tell you, could not be more satisfied with their politeness and straightforwardness , the same was in Mozambique where we received utmost hospitality.
  Please, be careful and only travel to Tanzania when there is need and not to visit and do not carry any valuable. As soon as you arrive, register with the American Embassy

  Sincerely,

  Ray Bergen.
   
 2. 7

  7ceven Member

  #2
  Aug 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umepokelewa, Mengi ya haya tunayajua tayari. The whole system deserves to be put into a dust been. We ve got to borrow some skills from elsewhere.
   
 3. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wakati umefika kwa wa Tanzania kubadilika kilicho elezwa hapa siyo huyu pekeake binafsi nimekutana na wa marekana hapa kwao zaidi ya wawili na wote wanasema mambo yanayoelekeana na haya.
  Ni vizuri tuweke watu wanaojua wajibu wao kwenye sehemu nyeti kama viwanja vya ndege,bandari n.k
  Rushwa ni moja ya vitu ambavyo vina tuangusha sana wa africa kwa ujumla.
   
 4. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  lazima Tanzania ibadilike kwa msingi huu tutakwisha.
   
 5. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jamani hii barua ni ya kutunga tuuu,Japo mambo kama hayo yapo hapa bongo lakini lugha iliyotumika hapa ni ya kujifunza not native language,Mwaandishi wa habari hii alitaka kufikisha ujumbe tu kwa wahusika jinsi mambo yalivyo huku Bongo.Najua tunawaheshimu sana wageni japo vibaka wapo lakini haina maana hata huko kwao vibaka hawapo.Wapo kila kona ya dunia ila tu kwetu njaa kali.
   
 6. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2009
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Mtoaji na mpokeaji rushwa wote ni wakosefu! Huyu mzungu asingekuwa tayari kutoa rushwa wala asingesumbuliwa na mtu, kikubwa kilichopo ni kwamba, wapokea rushwa wanaongezeka kwa sababu watoa rushwa pia wanaongezeka na kurasimisha hali ya kwamba hauwezi kupata huduma yoyote mpaka utoe rushwa!
   
 7. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Bhagosha,

  This is extremely terrible, kwa kawaida watu watachukulia ni vitu vya kawaida ati kwani nchi zingine hayo mambo hutokea!! bandugu lets not even think of that point wenzetu wameendelea na wamejipanga vyema kwa utawala wa sheria na ulio bora na wanavitendea kazi na wako pale kufanya kazi nasio kura rushwa, jinsi hii twaiweka picah ya Tanzania kubaya katika ramani ya dunia wajameni, mfano mzuri tu ni hapo South Afriaca mnaona wana matukio ya uhalifu usipime nasi ati twataka kuiga mambo ya hovyo. All in all me narudi kwa serikali yetu ni muda wa mageuzi ya kimaendeleo na tujipange vyema na kuweka mikakati yakuboresha usalama na amani ndani na nchi zituzungukazo.

  sina mengi
   
 8. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana nawe mkuu.
   
 9. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyo mtu anataka insurensi katika nchi yake hana lolote anafanya janja ya kupakazia nchi ili wamtupie giro.$$$$$$$$$$$$$$$$ionekane kama kweli kaibiwa mtindo huo walikuwa nao sana wataliana huenda vituo vya polisi hapa TANZANIA na kusema waneibiwa ili wapate barua wakadai isurensi, sasa mipango hiyo imegunduliwa katika ulaya na marekani au duniyani kote ndio wanazuka na kuchapisha maneno watu wasome ili wafanikiwe na mbinu zao.
   
 10. L

  LaVerite Member

  #10
  Aug 18, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani ni lazima tuelewe propaganda zilizopo against TZ. Tusiwe wepesi tu kiamini kila kitu mradi kasema mzungu. Resistance ya TZ kwa vitu kama EAC (ambayo imejaa maslahi ya wakubwa) inawafanya watuchukie. Hiyo barua ni ya kutunga, ni ukiisom kwa makini hata muandishi english siyo mother tongue. Anyway
   
 11. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Who will be against TZ?!the US?cut the crap please,BUSH might come here,OBAMA might be from KENYA.but that is as far as the importance of TZ can go to the US or Most European countries,generally the G8 bracket.

  we are insignificant as a nation to them,investors wanaokuja huku ni wale waliokosa solid opportunities huko waliko.

  Yes we are a paradise and all,BUT MALARIA has a bigger name in the US than TZ.

  we are a poor nation,the world tends to respect respectable nations,sie masikini wanaishia kutupa majina ya ajabu ajabu like nchi za dunia ya tatu,etcTatizo letu sie we are not HUMBLE.

  we think we are the biggest thing next to the US or EUROPE,while the truth is we are so far back.

  whether the story is true or not,all those things happen in TZ so its authenticity is not such a biggie anyway.

  and if you cared to Google for the author of the article,you would have known that he is indeed American and he works for an NGO.
   
Loading...