ujumbe niliopewa na JF Kenedy kwa wana wa JF. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ujumbe niliopewa na JF Kenedy kwa wana wa JF.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KISANTILITEDI, Jan 20, 2011.

 1. K

  KISANTILITEDI Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  miaka hamsini iliyopita tarehe kama ya leo wakati na apishwa nikiwa rais kijana marekani niliyasema maneno yafuatoyo katika hotuba yangu na leo hii yako juu ya kaburi langu pembeni ya mto hayo maneno yalikuwa hivi " as for we americans , ask not what america has done for you. ask what have you done for america" amesema tubadilishe hapo tujiulize sisi tanzania tumeifanyia nini...sasa leo watu wanapiga kelele mara dowans mara richmond...mara mgao jamani hii ndio mambo nchi yetu inatufanyia je sisi tumeifanyia nini tanzania wakati hapa kuna watu hawakwenda hata kupiga kura wengine kwenda kenywe kampeni mpaka walipwe...wengine si tulikwenda kukenua meno kuwaona kina masanja! ngoja tuvune tulichopanda.....bei ya umeme juu je hamjui hizi ndio zile gharama za kampeni tunazilipa? na bado....
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  hivi ukisubiri kwenda kupiga kura ndio ulete mabadiliko kwa sisiem ni sawa na kuchoma nyama kwa kutumia kibatari.... vuvuzela la katiba mpya ndio linatakiwa sasa... kwa katiba hii... hata lije baraza kuu la umoja wa mataifa.... sisiem watashinda tuu
   
 3. K

  KISANTILITEDI Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  tatizo sio katiba,...katiba inaweza ikawa nzuri na isiheshimiwe mboan hii imekuwapo na dosari na watu wameshindwa kuitekeleza sembuese hiyo mpya itakyotengenezwa na asilimia 70% ya wabunge wa ccm na rais wao juu na majaji walioteuliwa naye..... walatatizo sio ccm..tatizo kubwa ni wewe mwenyewe ? je unamoyo wa kufa kwa ajili ya nchi yako? je ni kitu gani umeifanyia tanzania au ni ule ugali uliokwenda kula shule ya msingi na mwalimu akakuchapa viboko kwa kutopeleka kuni, maharage au mahindi.....kweli tuna safari ndefu tunahitaji viongozi aina ya lumumba ...alimwambia hivi mke wake ..tena haya maneno ndio mazuri ya kuonyesha tunahitaji watu wa nanmagani tanzania "Dead, living, free, or in prison on the orders of the colonialists, it is not I who counts. It is the Congo, it is our people for whom independence has been transformed into a cage where we are regarded from the outside… History will one day have its say, but it will not be the history that Brussels, Paris, Washington, or the United Nations will teach, but that which they will teach in the countries emancipated from colonialism and its puppets… a history of glory and dignity."
   
 4. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  language is the cloth of thought
   
Loading...