Ujumbe murua wa Fatma Karume kwa Watanzania

Mtoto aliyekulia kwenye ikulu, asiyejua adha ya kupanda daladala wala chai maharage kwa Zanzibar, asiyejua adha ya kurudishwa nyumbani sababu ya kukosa ada ya shule.

Leo hii ndiyo wa kwanza kuikosoa CCM. Inakuwaje wewe mwenzangu na mimi kajamba nani unaipaisha na kuisujudia CCM? Imekufanyia nini zaidi ya ilivyomfanyia huyu binti?

Watanzania tuamke sasa baada ya kuusoma ujumbe wa shangazi hapo chini.


In God we Trust

Sifa moja ya mtu intelligent na MAKINI ni kutokubali uonevu wa Aina yoyote bila ya kujali unafanywa na nani,whether awe ni yule anayekupa mkate wako au adui yako!
Huyu mdada ana sifa hizo.
Bravo Fatma mjukuu wa Karume.
 
Kuna watu ni watu wazima lakini wapumbavu

Hakika wewe ni zao la shule zile za Tanzania mwalimu wa Kiingereza anaongea kiswahili darasani

Jaribu kujibu hoja za uzi, Wewe unaleta mawazo taka taka yaliyo kichwani mwako hapa JF

Je Umaskini umepungua? Unajibu mambo ya ulevi

Kweli Idiotness shall never perish
Eti idiotness! Wewe pia ni zao la hizo shule. Mwalimu wa kiingereza anaongea kiswahili toka mwanzo wa kipindi mpaka mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa moja ya mtu intelligent na making Ni kutokubali uonevu wa Aina yoyote bila ya kujali unafanywa na nani,whether awe ni yule anayekupa mkate wako au adui yako!
Huyu mdada ana sifa hizo.
Bravo Fatma mjukuu wa Karume.
Shangazi amekuwa ni mfano wa kuigwa kwa kuguswa na matatizo yanayo wapata watanzania

In God we Trust
 
Karume alitawala ZnZ kwa mkono wa chuma. Unaonaje akiliongelea hilo? Ukimuuliza anakublock
Aongekee na maeneo kibao ya ardhi na majengo baba take aliyopora Zanzibar kila sehemu ohh Hapa pangu!!! Baba yake lilikuwa fisadi la kufa mtuhalafu yeye Fatima Karume akawa ndie wakili Wa project zote za wizi za baba take kupitia proxies

Fatuma kaiba pesa sana pia kupitia kampuni ya mawakili ya Mkono Advocates alikokuwa kaungana na Mzee mkono waibe hela za serikali ya muungano na ya Zanzibar kupitia ufisadi Wa kiwakili

Kampuni ya mkono advocates ikivaliwa njuga fatuma karume lazima aende ndani kuungana na akina Rugemalia

Wizi wake na Mukono umethibitiwa na Magufuli ndio maana anabweka

Lakini serikali ya muungano na Zanzibar wakiamua kuivalia njuga mkono advocates alikokuwa fisadi Fatuma Karume haponi mjinga Huyo

Asifikiri kuna watu wanamuogopa baba yake sema tu baba yake katiba inamlinda kushitakiwa lakini fisadi baba yake angekuwa jela

Ila fatuma hana immunity siku akitokea mwehu iwe takukuru au popote anadakwa

Asione watu wako kimya anaeleweka in and out ufisadi wake na baba yake
 
Huyu mpuuzeni angesema haya wakati wa baba yake ambapo wanajuwa walio yafanya basi tungemuona shujaa. Kiufupi mwenye akili anajuwa hii ni spika ila mtoa taarifa ni nani Sema watu wapo kazini. Ukienda Znz nakupata habari zao huto msikiliza kamwe.
Ameuliza maswali kwanini msimjibu? Pamoja na kuwa CCM tupu kwenye baraza lakini hawana wanalofanya.

Same kwa Tanganyika, CCM has been there since independence na leo hata sukari hatuna, maji ndio anasa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! CCM wanatoa mikopo ya Chuo Mkuu!!
Ulipataje Mkuu?

ni lazima kuwa na Kadi ya Chama au ?
Hii nchi imewahi kuongozwa na chama nje ya ccm?

Unaweza kuitenganisha ccm na serikali?

Katika nchi za Afrika chama tawala is synonymous na serikali.
 
Hii nchi imewahi kuongozwa na chama nje ya ccm?

Unaweza kuitenganisha ccm na serikali?

Katika nchi za Afrika chama tawala is synonymous na serikali.
Mkuu bado Maswali yangu hayajajibiwa ..
Ulichofanya ni kuongezea maswali mengine Mawili..
 
Mkuu bado Maswali yangu hayajajibiwa ..
Ulichofanya ni kuongezea maswali mengine Mawili..
Chief nilichokujibu kama ungekua unajua majibu yake hayo ndiyo majibu ya swali lako.
 
Chief nilichokujibu kama ungekua unajua majibu yake hayo ndiyo majibu ya swali lako.
Katiba ya Tanzania haina neno CCM ..Na Katiba ya Tanzania ndiyo Dira yetu Kama Watanzania..haya ni Majibu katika swali lako..

Yangu umeyajibu Kisiasa.
 
Back
Top Bottom