Ujumbe muhimu kwa mh. Samweli Sitta

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
704
989
Mh, mwenyekiti wa bunge maalum la katiba, nasikitika kuona jinsi wajumble wanavyochangia rasimu ya katiba kwa kuitukana tume ya rasimu hasa Warioba.

wewe Kama mwenyekiti ulipaswa kuwaongoza vyema wachangiaji na na bora ya kuchangina na kuepuka kuitukana rasimu Bali wajadili jinsi ya kuiboresha. Mfano mjumbe aseme ondoa kipengele hiki kwa sababu Fulani na weka hiki kwa sababu Fulani na sio imipasho kwa tume.

kuwa Mikiti sio tu kuwarekebisha ukawa na kuwa acha ccm watukane. Hapo umeshindwa kuonesha standards Kama unavyojipambanua. Toa mwongozo kwa wajumble nini cha kuchangina sio kuchunga muda tu, la isivyo utasababisha kutungwa laughable chaff.

Mkiti bora ni Yule anayeongoza watu kujadili kile kilichopo na sio kutok nje ya mada na we Uko Kimya.
 
Back
Top Bottom