Ujumbe Maridhawa kutoka kwa Rafiki wa Rais Magufuli - Yoweri Museveni

Tang Zhou

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,206
2,587
Mabishano ya kisiasa na kutokukubaliana kutaendelea kuwepo siku zote...dawa ya mabishano hayo ni CHAGUZI HURU na za AMANI, mwisho wa siku wananchi waachwe waamue wanakubali hoja za nani...

Ukizuia Chaguzi huru utachoka tu, huwezi kutawala kwa amani...Rais Magufuli anaweza kujifunza hekima hii kwa Rafiki yake, Kaguta Museveni(Naye Rais Mkora na Ibilisi but he is more intelligent!)
Screenshot_2018-08-22-13-53-16-1.png
 
Mabishano ya kisiasa na kutokukubaliana kutaendelea kuwepo siku zote...dawa ya mabishano hayo ni CHAGUZI HURU na za AMANI, mwisho wa siku wananchi waachwe waamue wanakubali hoja za nani...

Ukizuia Chaguzi huru utachoka tu, huwezi kutawala kwa amani...Rais Magufuli anaweza kujifunza hekima hii kwa Rafiki yake, Kaguta Museveni(Naye Rais Mkora na Ibilisi but he is more intelligent!)View attachment 844033
Sijui alisema lini haya maneno, lakini nadhani ni zamani akiawa bado na busara
 
Mabishano ya kisiasa na kutokukubaliana kutaendelea kuwepo siku zote...dawa ya mabishano hayo ni CHAGUZI HURU na za AMANI, mwisho wa siku wananchi waachwe waamue wanakubali hoja za nani...

Ukizuia Chaguzi huru utachoka tu, huwezi kutawala kwa amani...Rais Magufuli anaweza kujifunza hekima hii kwa Rafiki yake, Kaguta Museveni(Naye Rais Mkora na Ibilisi but he is more intelligent!)View attachment 844033
Twit ya lini hii labda tuanzie hapo.
 
Vipi kuhusu ujumbe wake ? unadhani kwanini Museven kwenye andiko lake hajakataza Ma DC na MA RC kuwa neutro ?
Nazan Chadema wanatamani kuhamia Uganda, maana kule upinzani wanaishi kwa raha na mustarehe.. Nasubiri jibu
 
Dawa ya haya yote ni kuwa na mahakama huru tu, kwamba ukidhulumiwa haki zako uwe na uhakika wa kuzipata mahakamani bila kujali hali ya mtu, itikadi, tabaka etc nashindwa kuelewa kwann mahakama zisiwe huru wakati ni mhimili unaojitegemea. Achilia mbali Tume, polisi nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Museven huyu anaeitawala Uganda kwa mkono wa chuma na damu?wakati mwingine wanayanena haya kutaka kuonyesha hawana kichaa cha madaraka,si amesema nchi ile ilipatikana kwa harakati na mapambano,kama yule mama wa visiwa jirani alivyosema kabla ya kifo kuwa visiwa havitatolewa kwa karatasi.
 
Mabishano ya kisiasa na kutokukubaliana kutaendelea kuwepo siku zote...dawa ya mabishano hayo ni CHAGUZI HURU na za AMANI, mwisho wa siku wananchi waachwe waamue wanakubali hoja za nani...

Ukizuia Chaguzi huru utachoka tu, huwezi kutawala kwa amani...Rais Magufuli anaweza kujifunza hekima hii kwa Rafiki yake, Kaguta Museveni(Naye Rais Mkora na Ibilisi but he is more intelligent!)View attachment 844033
Huo ni ujumbe kabla hajalewa madaraka ujumbe wake wa juzi baada ya kujua utamu wa madaraka akiwaita wananchi nguruwe huu hapa.

FB_IMG_1534839805314.jpg
 
Wakati huo Besidje huwa anafungwa hadi vifungo vya nyumbani hata church haendi.
 
Back
Top Bottom