Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,495
- 51,089
Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania
Naamini huu ujumbe utakufikia
Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi, mnafikia hatua za kuwafundiha watoto wenu chuki.
Kwa nini mnawabrainwash watoto wenu kupitia chuki?
Hivi kweli nyie mnataka "harmonious world" kama ambavyo huwa mnajinasibisha kwenye kauli zenu?
Namna hii , mkiendelea hivi watu weusi watawachukia sana, kwa sababu hii tabia mnayofanya ndani ya nchi yenu ni mbaya sana
Hatujasahau kipindi cha Korona mlivyokuwa mnanyanyapaa watu weui kwenye mitaa ya miji yenu, leo hii tunaona mnaendeleza tabia mbaya kabisa za kujenga kizazi cha kuchukia watu weusi.
Shame on you
Tunataka majibu kwa nini mnafanya mambo haya, la sivyo na sisi tutawaona na nyie ni washenzi tu na tutaanza kudeal na nyie kama nyie mnavyotutreat
TAZAMA HII VIDEO: