Ujumbe Kwa Wanawake mnaojiona wazuri

Pole, mapenzi ndivyo yalivyo, sio suala la uzuri tu bali mtenda akitendewa hujihisi kaonewa. Hata wanawake huwa wanaumia vivyo hivyo wanapotendwa.
 
Pole sana uzuri wake ndio unaonkubabaisha hadi umeamua kuandika uzi huu jf mkaka pole sana real gentleman jambo kama hilo linapomtokea huhesabu ameshatikia nyavu marangapi zen anamwacha kwani uzuri wa sura waleo haubadilishi radha ya kifanyo chake
 
Uzuri ni kama maua, kuna muda wa kuchanua na muda wa kufifia, ngoma ikipigwa saaana mwisho tobo kubwa hutokea. Thamani kubwa ya mwanadamu ni pamoja na heshima ya mwili wake. Miss Chawote ni jamvi la wageni,

unakula kasha unafuta mdomo. usitake kujipaka michuzi. hakuna papuchi ya mrembo wala ya kipori zote zinaoza kwa dakika tu. mwambie huyo mrembo atie dole kasha aweke juu uone kama nzi hawajazani.
 
Wanawake wazuri wa sura na wanaotazamwa na wengi wanafaa kua michepuko na siyo wife material. Maana ukijifanya unaoa utakua unalia kila siku.
 
Back
Top Bottom