Ujumbe kwa TANESCO

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Nimekutana na huu wimbo mzuri sana: Naona wanasiasa wasiukose tafadhali fuatilia:

 
Last edited by a moderator:
Kwanja nimelikubali, sasa TANESCO wameshausikia huo wimbo maana wanawaogopa wazungu.
 
Tanesco usikate umeme leo usiku mpenzi wangu anakuja...nice vocal.... Anaimba vizuri mtoto wa watu...
 
Tanesco acheni kutuibia kupitia rental charges za mita au LUKU boxes. kwani hamtupi bure tunaziniunua na uuzaji wa umeme ndo biashara yenu. Mbona ninyi mkiibiwa kidogo tu mnapaza sauti hadi mbinguni. Hamjui kuwa nanyi ni wezi? Umeniuzia LUKU box kwa nini unanikata pesa kila mwezi ukidai kuwa ni rental charges?
 
Back
Top Bottom