Ujumbe kwa Rais Magufuli: Kwa Shambulio la Lissu mchana kweupe, basi hakuna Kiongozi wa Chama na Serikali aliye salama

Lissu ni Kiongozi, kwa maana ya Mbunge, Rais wa TLS, Mwanasheria wa Chadema na mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Iwapo watu tunaoambiwa "wasiojulikana", wamediriki kumpiga risasi za kivita mchana kweupe, basi kama hali hii haitadhibitiwa, hakuna kiongozi yeyote wa Chama na Serikali aliye salama, akiwemo yeye mwenyewe Rais wa nchi.

Tanzania ya leo sio Tanzania ya Jana.
Lakini ni moja ya maendeleo haujivunii tu ? Mbona nguruwe akizaa watoto wake akisikia njaa ili ashibe anawala
 
Kama ni serekali. Basi atuna mafundi wa kufanya kazi hiyo. Mimi hakika 100% kama ST wange maliza kabisa. Kuna ajalli nyingi sana. Ndege zakukodi. Barabara ni. Sumu. Kutekwa Na kuuwawa. Risasi karibu sio kama walivyofanya Dodoma. Na dereva angekufa. Kwa sababu wangemsogelea Na kupiga risasi. Mii nadhani ni watu wengine kabisa. Las sivyo ni MAKURUTI. Sio watalamu wetu tunai wapeleka njee kufanya kozi israil. China. Ungereza. Nk. Leo wajerui mtu tu.
 
Back
Top Bottom