Ujumbe kwa Membe: Kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,441
12,862
Wandugu habari kwenu.

Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana.

Akaenda kwa Zitto, Zitto akampa nafasi kubwa tu. Mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa urais. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe Membe leo kaikana ACT hadharani.

Ujumbe kwa Membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.

Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya Musiba.
 
Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana na lile dubwasha.
Akaenda kwa zitto zitto akampa nafasi kubwa tu .mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa uraisi. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe membe leo kaikana ACT hadharani .
Ujumbe kwa membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.
Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya musiba.
Bora umetumia bando lako maana haya makampuni ya simu hatari, unaweza ukaamka kesho wamekomba lote.
 
Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana na lile dubwasha.
Akaenda kwa zitto zitto akampa nafasi kubwa tu .mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa uraisi. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe membe leo kaikana ACT hadharani .
Ujumbe kwa membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.
Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya musiba.
Mbuzi wa bwana heri na shamba la bwana heri
 
Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana na lile dubwasha.
Akaenda kwa zitto zitto akampa nafasi kubwa tu .mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa uraisi. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe membe leo kaikana ACT hadharani .
Ujumbe kwa membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.
Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya musiba.
Aiseee , dubwasha ndio nani sasa ?
 
Msimlaumu na nyie wa ufipa mlimpa kichwa then mkamtosa mkakimbilia Brussels
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom