Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,013
Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana.
Akaenda kwa Zitto, Zitto akampa nafasi kubwa tu. Mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa urais. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe Membe leo kaikana ACT hadharani.
Ujumbe kwa Membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.
Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya Musiba.