50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 3,875
- 3,730
Alijikweza mno.Membe watu walimpa sifa kubwa naye akajitapa sana na maneno yake mbali mbali kimbunga kumba kumba etc kumbe MTUPU TU!
Kumbe anapendeza kwa suti na favour za CCM
Alijikweza mno.Membe watu walimpa sifa kubwa naye akajitapa sana na maneno yake mbali mbali kimbunga kumba kumba etc kumbe MTUPU TU!
Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana na lile dubwasha.
Akaenda kwa Zitto, Zitto akampa nafasi kubwa tu. Mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa urais. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe membe leo kaikana ACT hadharani .
Ujumbe kwa Membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.
Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya Musiba.
Spot on!Nilisema sana humu mwaka jana kwamba Membe hawezi kuwa raisi wa Tanzania kutokana na mfumo.
Na ikaenda ikawa.
Mazee wamekubaliana na Membe kwamba atulie, na ile fedha yake irudishwe kwa masharti (kupewa kidogokidogo) hivyo Gavana Luoga anapigiwa simu tu aidhinishe.
Mengine yatabakia kuwa ni historia tu.
Ila the real winners hapa ni Maalim Seif na Zitto Kabwe maana ACT wanakula ruzuku hivyo hawana shida.
2025-2030 ni Mwinyi kuwa raisi wa JMT kupelekwa kule Unguja ni kumuandaa akipitishwa basi JPM atatulia Chato akirekebisha channels..
Hivyo tusubirie wa Unguja kwa 2025-2030
Hizi ni habari mbaya kwa Tundu Lissu.
Au vipi ndugu zanguni?
Mwepesi kuliko bua....alihubiiri asichoamini na aliamini asichohubiriMembe watu walimpa sifa kubwa naye akajitapa sana na maneno yake mbali mbali kimbunga kumba kumba etc kumbe MTUPU TU!
Wajinga ndio waliwao. Werevu hawakumpa uzito. Umeshasema Jasusi mbobevu,sasa unashangaa nini kilichotokea. Wapinzani wawe na akili sasa. Sio kila MTU anaweza tu kuwa mpinzani.Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana na lile dubwasha.
Akaenda kwa Zitto, Zitto akampa nafasi kubwa tu. Mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa urais. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe membe leo kaikana ACT hadharani .
Ujumbe kwa Membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.
Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya Musiba.
Membe bila mbereko ya JAKAYA ni mbuzi tu kama mbuzi wengineKumbe mwepesiii. Hajawahi hata kushiriki KUNJI.UDSM sheeenzi
Huyo kipaji chake ni comedy tu.Yale mahojiano yake ya Dk.45 yalikuwa matamu sana! Alisema kila anapopita watu Membe!Membe! Membe!. Mzee muhuni sana
Zambarau wenzake ndiyo walimtosa,sisi tulishamjua kuwa ni bogusMsimlaumu na nyie wa ufipa mlimpa kichwa then mkamtosa mkakimbilia Brussels
Also known as "MALI KWA MALI "Mbuzi wa bwana heri na shamba la bwana heri
Mwinyi hawezi kuwa Rais Tz Bara.Nilisema sana humu mwaka jana kwamba Membe hawezi kuwa raisi wa Tanzania kutokana na mfumo.
Na ikaenda ikawa.
Mazee wamekubaliana na Membe kwamba atulie, na ile fedha yake irudishwe kwa masharti (kupewa kidogokidogo) hivyo Gavana Luoga anapigiwa simu tu aidhinishe.
Mengine yatabakia kuwa ni historia tu.
Ila the real winners hapa ni Maalim Seif na Zitto Kabwe maana ACT wanakula ruzuku hivyo hawana shida.
2025-2030 ni Mwinyi kuwa raisi wa JMT kupelekwa kule Unguja ni kumuandaa akipitishwa basi JPM atatulia Chato akirekebisha channels..
Hivyo tusubirie wa Unguja kwa 2025-2030
Hizi ni habari mbaya kwa Tundu Lissu.
Au vipi ndugu zanguni?
YaapMembe hana mvuto wala ushawishi yaani hana swagga. Angetuliaga ccm tu. Heshima yake imeshuka sana. Kiherehere na tamaa za uraisi zilimponza.
Mfumo ulikuwa ukimbeba na kujiona anaweza,kumbe ni kama samaki nje ya maji uhai haupo.Ati kachero bobezi. Kakimbia mbioo bila kugeuka
Kwa Hiyo Membe alikimbilia upinzani akijua anakwenda kula bata??? Hahahahaa.....Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana.
Akaenda kwa Zitto, Zitto akampa nafasi kubwa tu. Mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa urais. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe Membe leo kaikana ACT hadharani.
Ujumbe kwa Membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.
Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya Musiba.