jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.
Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.
Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na miongozo baada ya uhuru ambayo yalikwama kutekelezwa.
Yoyote mwenye kutoa maoni anapaswa kuwa honest na tena asiye na mawaa.
Tukubali au tukatae awamu ya 1 na awamu ya 5 ni awamu muhimu kwa taifa letu na kamwe hadi sasa hatutaweza kuzilinganisha na awamu nyingine.
Tusidilute mada bana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!