TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,253
- 2,023
Kwanza kabisa nikupe pongezi kwa shughulii unayoifanya ni nzuri kwa hakika,
ningependa pia kuwe na Stiglers and Ubungo interchange TV's ili tuwe tunaona maendeleo ya miradi. Tatizo moja naloanza kuliona kwenye vipindi vyako ni mipasho, propaganda na 'kujimwambafai' utafikiri hizo hela za miradi si za Watanzania ila za malaika. Mkuu yaani umekuwa kama TBCCM,
ujumbe huu mumfikishie.