Ujumbe kwa Ben Mwanantala wa reli TV

TUTUO

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,253
2,023
Kwanza kabisa nikupe pongezi kwa shughulii unayoifanya ni nzuri kwa hakika,

ningependa pia kuwe na Stiglers and Ubungo interchange TV's ili tuwe tunaona maendeleo ya miradi. Tatizo moja naloanza kuliona kwenye vipindi vyako ni mipasho, propaganda na 'kujimwambafai' utafikiri hizo hela za miradi si za Watanzania ila za malaika. Mkuu yaani umekuwa kama TBCCM,

ujumbe huu mumfikishie.
 
Kwani huko hakuna wandishi wa habari wa hizo wizara? Ben ninavyojua Mimi ni mwajiriwa wa TRC na huo ni ubunifu wake! Kawapiga ma-gap sana!
 
Wanampa bajeti ya kufanya hivyo ila ofisi nyingine kama TANROAD / Ubungo interchange na wale TANESCO / Stiggler wanaogopa nadhani kuulizwa mapato na matumizi na CAG
 
Back
Top Bottom