CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Comrade, si nimekwambia kuwa JPM akifanya vizuri why not support him. Kwa mfano nasikia (hearsay) kuwa mifuko ya jamii isiwekeze kwenye makaravati, madaraja, wawekeze kwenye viwanda na kwa hiyo wana create large employment. Wazo murua kabisa!