Ujumbe kutoka kwa Dk Slaa: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe kutoka kwa Dk Slaa:

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Negotiator, Sep 24, 2010.

 1. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watanzania wameshakubali kufanya mabadiliko makubwa. Rais Jakaya Kikwete ajiandae kuaga Ikulu, astaafu baada ya mika mitano ambayo haikuleta matumaini yaliyotarajiwa. Serikali isitumie mabavu kuumiza wananchi wanaotaka mabadiliko. Isimwage damu kwa ajili ya maslahi binafsi ya wanaotafuta madaraka au wanaongÂ’angÂ’ania madaraka.
  Rais Kikwete asiviingize vyombo vya ulinzi katika dhuluma inayoweza kusababisha damu ya Watanzania kumwagika kwa ajili ya madaraka ya wachache.

  Sourrce; Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua
   
 2. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  mkuu umesahau kuwakumbusha wote wanaotaka mabadiliko kuchangia hiyo process, tuachane na mamabo ya ccm kuwadanganya wananchi kuwa tunao wajomba somewhere wa kubeba mizigo yetu. Wapatie na namba za kuchangia na kuwafahamisha umuhimu wake ili kukamilisha kiporo kilichobaki
   
Loading...