ujumbe kuelekea uchaguzi- chagua ufisadi au chagua maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ujumbe kuelekea uchaguzi- chagua ufisadi au chagua maendeleo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Oct 29, 2010.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  baada ya kampeni za takribani mwezi moja ndugu wa tanzania tuna pande mbili ambazo ni moja tu unayo weza kuchagua.
  upande wa kwanza ni kama unapenda ufisadi basi chama cha kukipigia kura unakijua
  unaombwa ukipigie ni utashi wako.
  ukiwa unapenda maendeleo chama cha kukipigia kura unakijua kipigie kura.
   
 2. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  true
   
Loading...