daaah kwa hyo sisi tunataka kuwauwa wazungu ndo maana tumewapa jina BEBERUUkitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
Wakikupa msaada au wakikusifia unawaita wadau wa maendeleo ila wakikusoa unawaita mabeberu.
If you want to kill a dog,kill his master first.
OKWakikupa msaada au wakikusifia unawaita wadau wa maendeleo ila wakikusoa unawaita mabeberu.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Beberu auliwe na jike linalomtegemea kwa kila kitu?