Ujumbe huu wa Meya Jacob na Lema mzuri sana. Tatizo Mindset

Mhhh za kuambiwa changanya na zako Fanya kazi yako kwa bidii na ibada siasa pia ni kazi kuna watu wanalipwa yaan ndio kazi yao....jenga pale kwenye kaz yako ...kila MTU akipajenga Tz itakuwa bien....
 
Ha ha Mbowe kawalazimisha wapige picha arushe mitandaoni. Haiondoi ukweli kuwa Lema kachapwa "body language " ya Lema inaonyesha hofu
Wewe nawe fanya kazi uliyoteuliwa kufanya achana na mambo ya kijungu jiko.
Ndio maana mnaveshwa Pete na wanawake wenzenu! Huo ukoo wenu lazima unashida.
 
Ha ha Mbowe kawalazimisha wapige picha arushe mitandaoni. Haiondoi ukweli kuwa Lema kachapwa "body language " ya Lema inaonyesha hofu
True kabisa. Muonekano wa Lema si kama ule tuliouzoea kumuona wakati akiongea. Lema ni mtu wakujiachia barabara wakati akiongea. Kwenye clip hii Lema anaongea akiwa mikono kakunja kifuani utazani yuko kanisani au kwa pilato. Mara kadhaa anapapasa uso wake kama mtu anavyoondoa ukungu unaomujia machoni. Hali hii huwa inatokea kwenye post head injury syndrome. Lema anapoongea hajiachii kama ambavyo mwenzake Jacob anafanya. Ukimwangalia kwenye macho utagundua kitu fulani hasa kama wewe ni mtalaamu wa lugha ya jicho. Mboni za jicho huwa hazifichi kilichomo moyoni. Anyway hayo yamepita na yaliyopita si ndwele tugange yajayo!
 
We nawe hadi leo hujamsahau Mbowe tu, kama vipi hicho kimimba alichokutundika kichomoe,mama kichajo una gubu sana wewe.
 
Kubishana na hata kupigana ni ukomavu wa demo haiwahusu inaonyesha ni jinsi gani chama kimekomaa kwa democracy ebu jaribuni ninyi mbishane uone utakavyotumbuliwa ninyi kila kitu ni sawa mzeee
 
True kabisa. Muonekano wa Lema si kama ule tuliouzoea kumuona wakati akiongea. Lema ni mtu wakujiachia barabara wakati akiongea. Kwenye clip hii Lema anaongea akiwa mikono kakunja kifuani utazani yuko kanisani au kwa pilato. Mara kadhaa anapapasa uso wake kama mtu anavyoondoa ukungu unaomujia machoni. Hali hii huwa inatokea kwenye post head injury syndrome. Lema anapoongea hajiachii kama ambavyo mwenzake Jacob anafanya. Ukimwangalia kwenye macho utagundua kitu fulani hasa kama wewe ni mtalaamu wa lugha ya jicho. Mboni za jicho huwa hazifichi kilichomo moyoni. Anyway hayo yamepita na yaliyopita si ndwele tugange yajayo!
Wewe no mtaalami wa "mboni ya jicho"? Naona uko kinyume kabisa na id yako!
 
True kabisa. Muonekano wa Lema si kama ule tuliouzoea kumuona wakati akiongea. Lema ni mtu wakujiachia barabara wakati akiongea. Kwenye clip hii Lema anaongea akiwa mikono kakunja kifuani utazani yuko kanisani au kwa pilato. Mara kadhaa anapapasa uso wake kama mtu anavyoondoa ukungu unaomujia machoni. Hali hii huwa inatokea kwenye post head injury syndrome. Lema anapoongea hajiachii kama ambavyo mwenzake Jacob anafanya. Ukimwangalia kwenye macho utagundua kitu fulani hasa kama wewe ni mtalaamu wa lugha ya jicho. Mboni za jicho huwa hazifichi kilichomo moyoni. Anyway hayo yamepita na yaliyopita si ndwele tugange yajayo!
Kwa hio hapo lema anaogopa kupigwa???
Hahaha.... Nyimwa kila kitu lakini sio akili aisee..poleni sana mabumunda ya ccm
 
ha elimu boruwa najiuliza ccm inafaida gani iwapo mwanao inamfanya ashindwe kupata elimu bora,kuna faida gani kuishi kwa kutumia vichwa vya kina polepole wakati vitabu vimeandikwa?,Lakini hawa jamaa wanatujua elimuwanayoupa wakitambua kuwa jamii ya hovyo ambayo unaweza kuitawala bila shida ni maskini maana hawana umoja huishi kwa kufikria kesho watakula nini? Wakati matajiri wataishi kwa kutambua kuwa kesho ipo na wanpambana uongeza kipato chao si chakula.
 
Back
Top Bottom