Kitu ambacho waafrica hasa watanzania wengi hatuna ufahamu wa kupambanua mambo. Na research ambayo siyo rasmi niliyoifanya mwaka juzi..nimegundua wasomi wengi kuanzia level ya degree ndiyo ufahamu wao mdogo sana katika kupambanua mambo.
Lema na Jakobo huu ujumbe mzuri sana mlio utoa..Watanzania tunapenda pet issues sana..thinking capacity yetu ndogo sana. tunaendeshwa na matukio..wale jamaa wameshatujua uwezo wetu wa kupambanua mambo ni mdogo sana kwahiyo tunapikiwa matukio tu..ili tujadili hayo mpaka mwaka unaisha. Juz tulipewa Dr. Mrusi tapeli..tumejadili sana mpka na ma great thinkers..nafahamu umuhimu wa showbizz..but hii ya kitanzania hii sio..
leo tunadhani kwamba jukumu la kukemea mabaya hasa kushuka kwa uchumi ni lakina Lisu na Lema tu..kuna siku na wao watachoka. Mitandao ya kijamii ina nguvu sana jamani watawala wanasoma huku, tuitumie kwa manufaa yetu kwa kujadili masuala makubwa ya kitaifa: hizi ishu ndogo ndogo zisitutoe kwenye reli.
Ipende Tanzania maana ndiyo mama yetu..kuipenda serikali utashi wako..but Tanzania ipende sana.
ushauri hapo muhimu ni tujadili mawazo ya msingi..tusiyumbishwe na vitukio uchwala.