Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 22,751
- 19,987
......
......Hiyo ndo Chadema
......Hiyo ndo Chadema
Ukileta clip wanapopigana nitaaminiHa ha Mbowe kawalazimisha wapige picha arushe mitandaoni. Haiondoi ukweli kuwa Lema kachapwa "body language " ya Lema inaonyesha hofu
hali ya uchumi inaihusu nini CHADEMA wajadili matatizo yao
Wewe nawe fanya kazi uliyoteuliwa kufanya achana na mambo ya kijungu jiko.Ha ha Mbowe kawalazimisha wapige picha arushe mitandaoni. Haiondoi ukweli kuwa Lema kachapwa "body language " ya Lema inaonyesha hofu
Hili la kutotoa kwenye reli hata mimi nililisema hapa kwenye huu uzi:
Lumumba wanatumia hii migration ya wanasiasa uchwara kufunika habari za wao kushindwa ku-deliver
Usiwe una quote uzi mrefu hivi.Kweli kabisa. Brother Jo sorry.
True kabisa. Muonekano wa Lema si kama ule tuliouzoea kumuona wakati akiongea. Lema ni mtu wakujiachia barabara wakati akiongea. Kwenye clip hii Lema anaongea akiwa mikono kakunja kifuani utazani yuko kanisani au kwa pilato. Mara kadhaa anapapasa uso wake kama mtu anavyoondoa ukungu unaomujia machoni. Hali hii huwa inatokea kwenye post head injury syndrome. Lema anapoongea hajiachii kama ambavyo mwenzake Jacob anafanya. Ukimwangalia kwenye macho utagundua kitu fulani hasa kama wewe ni mtalaamu wa lugha ya jicho. Mboni za jicho huwa hazifichi kilichomo moyoni. Anyway hayo yamepita na yaliyopita si ndwele tugange yajayo!Ha ha Mbowe kawalazimisha wapige picha arushe mitandaoni. Haiondoi ukweli kuwa Lema kachapwa "body language " ya Lema inaonyesha hofu
Ficha ujinga wako.
Ha ha Mbowe kawalazimisha wapige picha arushe mitandaoni. Haiondoi ukweli kuwa Lema kachapwa "body language " ya Lema inaonyesha hofu
Wana matatizo gani? Haiwahusu wakati walichaguliwa na watu hao? Kwani zile asilimia alizopata mgombea wao 2015 hazina maana kwako?hali ya uchumi inaihusu nini CHADEMA wajadili matatizo yao
Wewe no mtaalami wa "mboni ya jicho"? Naona uko kinyume kabisa na id yako!True kabisa. Muonekano wa Lema si kama ule tuliouzoea kumuona wakati akiongea. Lema ni mtu wakujiachia barabara wakati akiongea. Kwenye clip hii Lema anaongea akiwa mikono kakunja kifuani utazani yuko kanisani au kwa pilato. Mara kadhaa anapapasa uso wake kama mtu anavyoondoa ukungu unaomujia machoni. Hali hii huwa inatokea kwenye post head injury syndrome. Lema anapoongea hajiachii kama ambavyo mwenzake Jacob anafanya. Ukimwangalia kwenye macho utagundua kitu fulani hasa kama wewe ni mtalaamu wa lugha ya jicho. Mboni za jicho huwa hazifichi kilichomo moyoni. Anyway hayo yamepita na yaliyopita si ndwele tugange yajayo!
Kwa hio hapo lema anaogopa kupigwa???True kabisa. Muonekano wa Lema si kama ule tuliouzoea kumuona wakati akiongea. Lema ni mtu wakujiachia barabara wakati akiongea. Kwenye clip hii Lema anaongea akiwa mikono kakunja kifuani utazani yuko kanisani au kwa pilato. Mara kadhaa anapapasa uso wake kama mtu anavyoondoa ukungu unaomujia machoni. Hali hii huwa inatokea kwenye post head injury syndrome. Lema anapoongea hajiachii kama ambavyo mwenzake Jacob anafanya. Ukimwangalia kwenye macho utagundua kitu fulani hasa kama wewe ni mtalaamu wa lugha ya jicho. Mboni za jicho huwa hazifichi kilichomo moyoni. Anyway hayo yamepita na yaliyopita si ndwele tugange yajayo!
Wewe nawe ni "Dr Taahira" yule mtaalamu uchwara wa "mboni ya jicho?Ha ha Mbowe kawalazimisha wapige picha arushe mitandaoni. Haiondoi ukweli kuwa Lema kachapwa "body language " ya Lema inaonyesha hofu