Ujuha Wa Familia ya Rais Kibaki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujuha Wa Familia ya Rais Kibaki!

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by MzalendoHalisi, Mar 3, 2009.

 1. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kibaki leo ameita waandishi wa Habari Nairobi akiwa na Lucy!

  "Ni wewe tu mama Sina Mwingine zaidi Yako!"

  Na kwa hiyo!!!

  "Nakupenda wewe tu Lucy!""

  Na Lucy akasemaje???

  "Waandishi mkome kufuata fuata familia ya Kibaki!..Je mmesikia?? "

  Source: BBC Radio
   
 2. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  The Kibakis need to change their psychiatrist!
   
 3. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Lengo ni kuzima tetesi au kuzima ukweli? Kauli kama hizo zikiwa hazina background story huenda zinafunika mambo. Tatizo lilikuwa nini? Au huyo mama mbabe alimlazimisha aite press conference kusema hivyo, la sivyo mkong'oto?
   
 4. M

  Mkenya Member

  #4
  Mar 4, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Mkuu,

  Hiki ni kinyanganyiro cha kiti eneo bunge la Othaya, ambacho kimeshikiliwa na rais. Kibaki as we all know is not qualified to run in the elections za 2012, Here we have Lucy who is fronting for his son Jimmy to take over the mantle from the father, while the Kibaki's other "wife" is seen as more popular in Othaya grassroot. Its not an issue of family integrity here, we all know who is his "other" wife.. this is an issue of political succession at Othaya Period.

  Regards............................
   
 5. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,920
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  We Mkenya,
  It seems u got data. Hebu leta hapa ni kweli ana nyumba ndogo au?? Thats why nimeshangaa kwa nini kulikuwa na haja kuwa na press conf on that.
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  Mar 4, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Mar 4, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135

  [​IMG]

  This story was carried in the Sunday Standard of December 14, 2003:

  Kenya Democracy Project: Mwai wa WAMBUI: Why Deny Mke na Binti?
   
 8. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Haha hahaa Ha!

  sasa ni kwa nini Kibaki anamkataa Mke na Mtoto wakati wamependana mda wote huo tangu 1970's?

  Je huu ni uungwana?

  Or Lucy has upper hand now???
   
 9. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #9
  Mar 4, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Lucy ndiye anaye call the shots.
  Kwa hivyo kamlazmisha jamaa aitishe Press Conference kusema eti
  yeye ndiye mke wa pekee.Ukweli hata hivyo unajulikana na hizi
  kelele zao zinazidi kukuonyesha jinsi utawala wa Kenya unavyoenedeshwa.
  Kazi ipo!
   
 10. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  huyu mzee is idiot, kama anaweza kuiba kura na kujitangaza mshindi huku akijua kuwa hakushinda itakuwaje kwa hili. huyu ni nabii wa uongo na uongo kwake ndo sala ya kila siku
   
 11. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #11
  Mar 6, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Muite declines to apologise to First Family


  Updated 6 hr(s) 48 min(s) ago

  Former Kabete MP Paul Muite has instructed Mr Gitobu Imanyara to act as his lawyer in the event the first family sues him.And Muite dared the family and Environment Minister John Michuki to take him to court.

  "I will not apologise for stating the truth. The President should instead issue a statement why the Government vandalised Standard and KTN equipment," Muite said.

  Speaking at Parliament Buildings yesterday, the Imenti Central MP said he had sent a letter to President Kibaki, through a courier, who was turned back at the gates of State House.

  "They delivered the letter to the President’s offices at Harambee House," Imanyara said.

  A copy of the letter in possession of The Standard reads in part, "I respectfully write to you pursuant to instructions received from my above client (Muite) in connection with pronouncements made by your Excellency at a Press conference at State House."

  The letter goes ahead to state that Muite’s subject of concern had nothing to do with the first family, but to address the issue of the Standard and KTN raid.

  Public interest

  Imanyara said the issue remains a matter of public interest.

  Also of concern to Muite is the fact that the Commissioner of Police flanked President Kibaki.

  Imanyara says at no particular time at the news conference did President Kibaki answer Muite’s point, namely, according to Imanyara, ‘The reason for the raid on KTN and the Standard’, which he says the President ought to have dealt with.

  Last Tuesday, a furious President Kibaki in company of the First Lady called a Press conference to react to Muite’s remarks and threatened to sue him. Imanyara said Muite’s comments were lifted from a Parliamentary Report, laid on the table of the National Assembly on September 27, 2007, hence making it a public document.

  The Standard | Online Edition :: Muite declines to apologise to First Family

  My take : With Muite refusing to apologise, then the ball is squarely in the President's court and his crazy 1st wife.Tuone kama they will prosecute Muite.
   
 12. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Hivi Kibaki alilazimishwa kumuoa Lucy?
   
 13. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Mimi naona Lucy yaani ni mwanamke aliyejaa wivu Mno!! Hampendi kabisa huyo mwanamke mwingine!

  Sioni jingine zaidi hapo zaidi ya wivu wa mapenzi!
   
 14. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  No, I don't think so... lakini marriage is for better for worse...this has to be the for worse part. Manake Lucy as we have always known is not ok.
  They should try and manage her situation very well being as it were that they are in the public eye.
   
 15. A

  Audax JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ahahaaaaa,wadau mnatisha,hivi mimi cna imani kuwa kenya hamna mambo ya maana ya kujadili.Wale watu wana njaa,leo alfajiri wamemuua mwanaharakati,kakataa mafuta ya iran, wafungwa waliosamehewa hawana chakula, n.k sasa kwa nini wajadili family isues kwenye press? hao ndo viongozi tulionao africa. They always think they are the best
   
 16. F

  Falconer JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Hebu tumuangalie JK nae yuko vcipi?. Angalau Kibaki inajulikana. Mwenzetu anakula vya kunyonga wala hana wasiwasi.
   
 17. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  For the first time nimeona presidential protocol ikivunjwa mbele ya rais mwenyewe.
  Inakuwaje Mh. Kibaki anaongea na press halafu mkewe anaingilia kati kana kwamba mamaa ndiyo "Rais Mkuu". Aibu kabisa inaonekana Mh Kibaki ameshindwa kumthibiti mkewe na huenda amelazimishwa kufika pale na kutoa hiyo statement.
  Kana kwamba haitoshi, Lucy anatamba mbele ya Rais kuwa atafanya ubabe (atavunja sheria na haki za binadamu) kama alivyofanya kwa The Nation Staff. Ningefurahi kuona kuwa waandishi wa habari wa Kenya wai-address hii issue kwani tayari kuna vitisho vimetolewa mbele yao na ushahidi upo usio na shaka.
  Nini hasa Mh Kibaki anachokiogopa kwa Lucy, anadundwa? au Mzee akishakuwa chakari kuna ambao Lucy anayajua?
  Ab-Titchaz hebu tusaidie.
   
 18. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #18
  Mar 12, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Pundamilia07,

  Heshima natanguliza,

  Wala hujakosea kwa mtazamo wako na wakenya wengi wanajua kua huyu mama anamtawala mume wake nyumbani(soma ikulu). Amesahau kua kuna kitu kinaitwa protocol ama kwa jeuri yake hajali.Kuna tetesi kwamba kashaleta vurugu mechi ikulu na kutishia watu maisha.Watu pia wanasema kua inawezekana ana akili punguwani na anameza madawa.Zote hizo ni hadithi
  ambazo ukiziangalia kwa undani they might hold some water. Kibaki's health in itself is in question maana inasemekana kuna wakati alipigwa na stroke ambayo imefanya dependent kwa huyu mama in making decisions(read his succession).

  At the end of the day people want this circus over with and enough is enough.
   
  Last edited: Mar 12, 2009
 19. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ahsante sana Mkuu kwa maelezo yako ambayo kumbe alishabihiyana na ya kwangu. Kusema kweli nilichokiona hakipendezi kabisa machoni mwetu, si wakenya pekee bali hata watu wengine. State House ni kioo cha sehemu ya kuendesha nchi kwa kuzingatia utawala bora, lakini anapotokea mtu akaonesha dharau kwa wakenya ati tu kwa sababu mumewe ni rais basi amewakosea wananchi wa Kenya wote. Haiwezekani mke wa Rais atoe maneno ya kejeli bila aibu. Huyu mama pia aliidhihaki Kenya na wananchi wake pale aliposema kuwa Rais hatakwenda mahakamani lakini mimi na familia yangu tutakwenda, alipaswa kumtenganisha Rais na Mume wake, kulikoni Lucy???? na Rais anaona kabisa anadhihakiwa madaraka aliyopewa na wananchi mbele ya wakenya, nadhani ime-cost Kibaki sana? Kwani nini huyu Mzee asingeamua kukabidhi issue hio kwa lawyer wake ili atoe tamko kwa niaba yake? Anaendeshaje nchi huu Mzee?
  Wakenya inabidi watafakari, si kumwondoa madarakani lakini kuona kuwa mambo hayaharibiki zaidi.
   
 20. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #20
  Mar 16, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ile seketa ya Rais Kibaki kumkana mke wa nyumba ndogo inazidi kunyumbuka kwani watoto wanne wa Kibaki wametishia kuelekea mahakamani kumfungulia Bw Paul Muite mashtaka kuhusu matamshi yake hivi karibuni.

  Kama nilivyosema awali, hii familia inaleta sarakasi wakati nchi ina mambo
  kibao ya kutatua.Kwani hawadiriki na pupa yao ya kutaka kula vya kuiba?
  Baba yao aliiba kura na ni heri waridhike na hilo na kula 'matunda ya uhuni'.
  Najiuliza kwani wakenya wanataka huu upuzi utawale habari za kila siku?..
  maana ukweli ni kwamba wakianza hivi jua wanataka kutumia nguvu za serikali
  kumfilisi jamaa ama by extension kutishia uwazi wa vyombo vya habari katika
  kutekeleza wajibu wao.

  Tumechoka na ukatuni wa hii jamii.

  [​IMG]

  Kibaki children threaten to sue Muite


  BY BERNARD MOMANYI

  Update 7 hours and 32 minutes ago

  NAIROBI, Kenya, Mar 16 - President Mwai Kibaki's four children have threatened to sue former Kabete legislator Paul Muite unless he apologises and withdraws alleged defamatory remarks that he made against the first family.

  Through Mohammed Muigai advocates, the President's children Judith, James, David and Anthony said the former MP had defamed them by linking them to the Standard raid and the Armenian Artur brothers.

  Mr Muite has however maintained that he would not withdraw his remarks and is daring the Head of State's children to sue.

  In a letter dated March 12, 2009, the children's lawyers state that they were specifically instructed by the four to address Mr Muite over defamatory statements touching on their clients.

  "The words meant and indeed were understood to mean that our clients were involved in the raid of the Standard Group and that they are connected to the Armenian Artur brothers and that our clients partake in criminal activities," the letter states.


  It adds; "Our instructions are therefore to demand from you (Muite), as we hereby do, an immediate retraction of the entire content of the statements made together with an unequivocal apology for uttering false and defamatory remarks."

  The letter further states that Mr Muite risks facing legal action unless he retracts and apologises.

  "Unless we hear from you on the above mater within seven days of the date hereof, we have irrevocable instructions to file suit against you at your peril as to costs and attendant consequences," the three-page letter states.

  On Tuesday, Mr Muite's lawyers - Gitobu Imanyara and company advocates - wrote to the lawyers of President Mwai Kibaki's children and dared them to file the suit.

  In their letter dated March 16, 2009, the lawyers question why the President's children were threatening to sue on ‘issues relating to their parents'.

  "Each of your clients is over 18 years of age and therefore in Law - Sui Juris. Statements made on their father and/or mother cannot ipso facto relate to them."

  Mr Muite's lawyers said that their client stood by his remarks and denied that he had made any reference to President Kibaki's children.

  The lawyers said their client had only mentioned a ‘government operation' at the standard group offices.

  The former Kabete MP had been invited to the commemoration of the Standard raid on March 2, where he said the former Internal Security Minister John Michuki (now Environment Minister) had denied that there was a raid.

  "Don't call it a raid, it was not a raid, it was a government operation. They were about to write about a sacred institution, the Presidency. They were about to write about the President and his wives," Mr Muite said, quoting the former Minister.

  On Tuesday, Mr Muite's lawyers denied that their client had referred to President Kibaki's children and dared them to sue him.

  "Our client is not aware that any of your clients is part of the government. How in law and in fact are your clients seeking to connect or involve themselves with the government operation," Sande Ligunya of Gitobu Imanyara and company advocates posed.

  "Indeed, our client welcomes and looks forward to the intended suit being filed. It will be vigorously and robustly defended at your clients' risk as to costs and all other consequences ensuing therefrom," she said.

  .: Capital News :.
   
  Last edited: Mar 17, 2009
Loading...