Ujue upande wa pili wa Adolph Hitler: Historia inayominywa

Hivi unajua kuwa utaalamu wa NUSU KAPUTI unaotumika leo ni matunda ya utafiti wa waNAZI
Unajua kuwa utaalamu wa MAROKETI wa leo ni Matunda ya Sayansi ya Wanazi.

Ukiwalaumu waNAZI kwenye research za madawa basi usisahau kuwalaumu Wamarekani kwenye TUSKGEE experiment ambapo watu weusi walikuwa wakipandikizwa Virusi vya Gonorrhea halafu kuona watacope vipi katika set waliyoipanga!

Experiment za Kisayansi huwa ziko dirty sometimes behind the scene!

Yaaa so sad, halafu walikuwa wakiwapa a placebo medicine, a fake dose. Ili waone kama ni dawa ndiyo inayotibu au ni psychology?
 
Back
Top Bottom