Ujue ugonjwa wa Kichocho (Bilharzia); Chanzo, dalili na tiba

Pole, kwanini walizitumia hizi dawa? Walikuwa wagonjwa?
 
Wanapewa baada ya kupata ridhaa toka kwa wazazi au wazazi hawana uamuzi kwenye hili?

Asante mkuu
Ndo ilikuwa lazma wapewe mashuleni sasa sielewi ni za nini...leo ivi nimewatoa hospital ni majipu na homa
 
kwa mfano mm binafsi sna ndugu wala mtoto anae soma hzo shule ivyo nashindwa toa ushauri juu ya dawa hzo...chaku fanya tafuta majina ya hzo dawa walizo pewa..au picha zake ili tuweze chambua side effect za hizo.dawa...ila nijuavyo mm kichocho(schistomiasis) hakina dawa nyngne zaidi ya PRAZQUANTEL 40mg/kg...na haina side effct tajwa hapo juu...labda kama walitoa dawa zngne!

Kuhusu minyoo nazo zilezle..thianidazole..albendazole...na zngnezo...pole sana..!!?

jarb tafta majna ya hzo dawa.
 
kwa mfano mm binafsi sna ndugu wala mtoto anae soma hzo shule ivyo nashindwa toa ushauri juu ya dawa hzo...chaku fanya tafuta majina ya hzo dawa walizo pewa..au picha zake ili tuweze chambua side effect za hizo.dawa...ila nijuavyo mm kichocho(schistomiasis) hakina dawa nyngne zaidi ya PRAZQUANTEL 40mg/kg...na haina side effct tajwa hapo juu...labda kama walitoa dawa zngne....!! kuhusu minyoo nazo zilezle..thianidazole..albendazole...na zngnezo...pole sana..!!? jarb tafta majna ya hzo dawa.
Praziquantel kwa tiba ya kichocho dozi ni 20mg/kg,lakini sio salama kwa watoto chini ya miaka 4 .
 
kwa mfano mm binafsi sna ndugu wala mtoto anae soma hzo shule ivyo nashindwa toa ushauri juu ya dawa hzo...chaku fanya tafuta majina ya hzo dawa walizo pewa..au picha zake ili tuweze chambua side effect za hizo.dawa...ila nijuavyo mm kichocho(schistomiasis) hakina dawa nyngne zaidi ya PRAZQUANTEL 40mg/kg...na haina side effct tajwa hapo juu...labda kama walitoa dawa zngne....!! kuhusu minyoo nazo zilezle..thianidazole..albendazole...na zngnezo...pole sana..!!? jarb tafta majna ya hzo dawa.

Nitajaribu kufatilia mkuu ila kuna mmoja zake alizificha mfukoni akaja nazo....ni dawa flani ivi nyeupe alafu shep yake ni draft ndefu nilizitupa sikuzitilia maanani mkuu but nitatafuta majina ya hizo dawa...
 
sawa.. sawa.
 
Wenyew walipewa vitatu tatu sasa sijui ni mg ngapi na wana miaka above ten

Mara nyingi kidonge kimoja huwa na 600mg hivyo kama walipewa vitatu maana walikunywa 1800mg. Na kwa kawaida dozi inayotolewa ni 40mg/kg. Je wanao wana wastani wa kilo 45?
 
Hawajafikisha mkuu... wananiambia walikuwa wanapewa kutokana na vimo vya urefu....alafu izo daw ni mbili tofauti mkuu wangu..yani kwa ujumla ni vitatu
 
Kati ya hizo dawa walizopewa je kuna kidonge kimoja kilikuwa kidogo na cha duara na je unamaanisha kuwa walipewa vidonge viwili hivyo vya kichocho na kingine ambacho sio? Katika ukuaji wa mtoto urefu huwa unaendana na uzito japokuwa kuna wakati mtoto anaweza akawa na uzito usioendana na urefu wake na ndio maana wanawapima urefu. Sometimes inaweza kutokea ukamoverdose mtoto kwa sababu wapo ambao urefu wao unakuwa tofauti na uzito. Naomba uniambie kuhusu hiyo dawa nyingine tofauti waliyopewa.
 
Mkuu vipo viwili vya ivyo (ila sio ivyo huo ni mfano wa muundo wa izo dawa) ambazo zinamezwa kwa ajili ya kichocho na kama nyingine muundo huo huo nusu (yaani kinavunjwa ) wanapewa watafune nazani ni za minyoo.
 
Attachments

  • 1432477268094.jpg
    1432477268094.jpg
    29.6 KB · Views: 69
Back
Top Bottom