Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

Weka picha za hizo bidhaa zako ili kuhamasisha zaidi,na taja mahali ilipo na uweke kigezo wa mkoani watatumiwa n.k
 
Nimeanza jana kunywa majani ya mlonge km tiba ya vidonda vya tumbo

Ninaendesha kiasi sio sana

Ukiinywa inalevya flani hivi

Japo bado mapema lakini juzi nilikuwa hali mbaya mbaya lakini kwa jana na leo naiona nafuu tena pasipo kumeza dawa za hospitali

Miti ni dawa hatujui tu napoishi hiyo milonge ipo ya kutosha na wenyeji hawajui kabisaa sifa za mti huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami niliwahi kushauriwa nitumie mlonge kwa ajili ya ulcers naambiwa ni dawa yenye uhakika. Naomba nielekeze jinsi ulivyoaanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami niliwahi kushauriwa nitumie mlonge kwa ajili ya ulcers naambiwa ni dawa yenye uhakika. Naomba nielekeze jinsi ulivyoaanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo pitia post za nyuma uone kuna mdau nae anatumia kwa ajili ya vidonda vya tumbo na kaelezea anavyotumia na anapata nafuu na sisi tumeongezea maelekezo ,ukisha Elewa hayo maelekezo na hujui pa kupata mlonge ,njoo pm nikushauri zaidi na kukupa uwo Mlonge ni bei nafuu Tshs.10,000 gram 250 unga au Majani mabichi pia utapata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom