Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

Tok bad umefunga inbox. Nitumie namba yako PM halafu uifunge tena PM yako.
Kwa kutumia unga wa mizizi ya mlonge mwanaume utakuwa rijali na utaondokana na tatizo la kushindwa kumfikisha kimapenzi mwenzi wako. Kumbuka kuwasiliana nami ili upate kitu kizuri ,unga ulioandaliwa katika mazingira safi bila kukausha kwenye jua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza jana kunywa majani ya mlonge km tiba ya vidonda vya tumbo

Ninaendesha kiasi sio sana

Ukiinywa inalevya flani hivi

Japo bado mapema lakini juzi nilikuwa hali mbaya mbaya lakini kwa jana na leo naiona nafuu tena pasipo kumeza dawa za hospitali

Miti ni dawa hatujui tu napoishi hiyo milonge ipo ya kutosha na wenyeji hawajui kabisaa sifa za mti huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo. Ina ondoa masumu, na vitu vilivyo ji attach kwenye tumbo... Keep it up, glass moja ya maj asubuh na jioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vile miti ipo nachuma majani kiasi tu vitawi kama vitatu au vinne nayadumbukiza katika maji ya moto km kuyaosha halafu nayaweka kwenye blender naongeza na maji safi ya kunywa kikombe kidogo cha robo kilo, nasaga nachuja ndipo nakunywa

Juice yake inateleza hivi kama mlenda

Akimaliza kunywa ale ama anywe maziwa asikae bila kula ni dawa ambayo inalevya na inaleta kichefuchefu baada ya kuinywa

Jana mchana niliziona rangi zote nilipoinywa sikula chakula kwa haraka weeeee inakuwa kama kunywa dozi ya malaria pasipo kula au kunywa vya kutosha

Na nachofanya nainywa mara mbili asubuhi na jioni

Wadau mnisaidie tusizidishe dozi tukakufa jameni

Sent using Jamii Forums mobile app
Maji yasiwe moto sana, na yapitishe kidgo tu, kwa ajili ya kuusafishia, usije potoze micro nutrients nyingi humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlonge huu huu umejaa sana mashamba ya Tanga, wazee wanakula sana kwa ajili ya matibabu ya maladhi mengine kila siku lakini bado ni wachovu tu. Wake zao.kuchwa kutafuta kupigwa miti nje.
Kule Tanga nimekaa, unazungumzia vilr vizee vinavyoa mabinti wadoogo... Sababu wapo vzuri bado.

Na sio kila anae enda ya ndoa anafata game tu,
Wanawake wana vitu vingi.

Unaweza piga game x3 kwa siku, na bado akaend nje, kufata alichokuw akikitaka.
.

Ila huu mti ni kama ilivyo asali una vitu vingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna siku niliambiwa kuwa mlonge ni dawa ya Malaria sasa nikachemsha mizizi yake nikanywa baada ya kupona kama wiki hivi baadae nikapata mechi aiseee nilipiga show ya heavy weight mpaka mnyakyusa wa watu alipiga kilele kuwa Papuchi inawaka moto.

Baada ya mwezi nikaja kuambiwa ile kitu inatibu mpaka nguvu za kiume, toka nilikunywa napiga show za kibabe

Nikweli mkuu mimi kuna ugonjwa uliwahi kunisumbua kama miezi mitano na nilitumia dawa za pharmacy mpaka nikachoka lakini mlonge longe aiseeee siku tano tu nishapona mpaka nikaona ni miujiza au kumbe kweli
 
Hii bidhaa inawafaa wanawake coz wana magonjwa Mia ndani ya miili yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom