Ujirani mwema Uswahilini: Ni kweli kwamba hotpot (bakuli) ya jirani haipaswi kurudishwa ikiwa tupu?

Sio uswahilini tu, nakumbuka hata miaka ya nyuma kijijini kwetu jirani akivuna kunde, mahindi au maharage na kukuletea huwezi rudisha chombo kikiwa tupu, inabidi nawe umuwekee japo kibaba cha unga au vichane kadhaa vya ndizi ndipo urudishe chombo...
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
ila probability ni ndogo....kibongobongo majirani ndo wanaongoza kurogana,majirani wana wivu,ukinunua fridge wanakuletea pila yenye sumu
Ila hao hao majirani ndio wanakuwa wa kwanza kufika pindi ukutwapo na tukio la dharura kama vile msiba.
 
Hizo mambo zilikuwa huko nyuma tena vijijini bush huko hapa mjini ayo maisha hayapo kabisa labda uswahilini kweli kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom