Ujio wa waziri mkuu wilayani Songea makubwa yafichuka

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
5,121
2,000
Hapa sijaelewa mada yako inalenga mini: deni la luku au madaktari kuondolewa katika nyumba?
 

Ngapulila

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
757
1,000
Huyu atakuwa ni mmoja wa hao madaktari anatupenyezea ujumbe kama independent informer in anonymity manner
 
  • Thanks
Reactions: fuc

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,028
2,000
Baada ya waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Kassimu Majaliwa kutoa ahadi ya kutembelea mkoa wa ruvuma mnamo mapema mwezi wa kwanza 2017,makubwa yaibuka..

1. Madaktari waondolewa katika nyumba zao bila sababu na wamekosa pakwenda ,nyumba hizi zipo eneo la sogea satom jirani na kijiji cha mlete maarufu kama changarawe , nyumba hizo ni mali ya serikali na zilijengwa ili kutumika na wakandalasi wa balabala iendayo namtumbo.

2. Sintofahamu ya pili nyumba hizo zinatumia umeme wa luku lakini cha kushangaza zina deni kubwa sana kiasi kwamba madaktari hao wametakiwa kununua umeme kwa bei mara mbili zaid ,mfano wamekuwa wakinunua umeme wa 100,000 /= basi hupata units za 50000/= tuu elfu hamsini nyingine hulipa deni la nyuma ambapo hata wao wanashangazwa na utaratibu huo wamelalamika sana juu ya tatizo hilo bila suruhisho lolote.

Swali ni je Tanesco inatoa huduma ya mikopo ya umeme ,je haya madeni katika mita ya ruku yametokeaje.

Swali jingine ni je kitu gani kimepelekea madaktari kuondolewa ghafla katika nyumba hizo ambazo ni za serikali

Waziri mkuu tunaomba uanze na suala hili la nyumba na Tanesco.
Yuniti 50000 elfu kwa laki moja?
Mbona mna raha nyie
Mm nalipia 10000 elfu napata unity 26 tu sasa hao mbona wanapata unity za bure?
 

fuc

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
428
500
Yuniti 50000 elfu kwa laki moja?
Mbona mna raha nyie
Mm nalipia 10000 elfu napata unity 26 tu sasa hao mbona wanapata unity za bure?
soma vizuri inaonyesha hujasoma kilichoacdikwa au unashida ya kuelewa ,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom