Ujio wa Rais Magufuli Kyela haujaleta neema yoyote , Shida za maji safi zabaki vile vile

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,503
217,764
Baada ya Mabomba ya Maji yaliyowekwa na Mabeberu wa DANIDA miaka mingi iliyopita kuziba na miundo mbinu yake kuharibika , hivyo kusababisha wananchi wa vijiji vya Kyela kuendelea kutumia visima na maji ya mito yasiyo salama , tulitegemea ziara ya Mh Rais Wilayani hapa ingechagiza ufumbuzi wa jambo hili lakini kwa bahati mbaya imekuwa kinyume chake.

Vijiji kama Isaki , Kabanga , Kasumulu , Lubele , Ngana , Mbako , Kilasilo , Ibungu , Lupembe , hadi Ikolo , ambavyo vilinufaika na mradi wa maji wa DANIDA vimekuwa na tatizo la maji salama kwa kipindi kirefu mno , tulitegemea mbunge Mwakyembe angeomba msaada kwa Rais ambaye sasa imefahamika kwamba anatembea na miradi yake mfukoni hata kama haikupitishwa na Bunge , ili asaidie vijiji hivi kupata maji kama ilivyokuwa kwenye mradi wa DANIDA

Ikumbukwe kwamba Wilaya ya Kyela ni miongoni mwa Wilaya zinazoshambuliwa mno na Kipindupindu , huku sababu zinazotajwa imo hii ya kukosa maji salama
 
Sehemu zote RAIS alizoend na watu wakamweleza kero zao.. Asilimia kubwa ametatua baadh ya kero na nyingine kuzitafutia ufumbuzi...
Ningekuona wa maana kama unaipend kyela, ulichokiandika hapa ungemweleza mkuu huko huko ziarani.
Kama aliwez kumsikia mama mweny mtot aliyelatiwa na akafatilia, sembuse ww kuomba maji.
 
Huna lolote mkuu , Mwakyembe ambaye ni mbunge wa eneo hilo mbona kanyamaza , yaani unataka mimi nihangaike kwa njia ya kujidhalilisha ? kwanza yule mama mwenye mtoto aliyelawitiwa ule ni mchongo wa kumpandisha cheo Michael Mteite kama malipo ya kumfunga Sugu.

Mwisho lakini si kwa umuhimu sana : wewe si mtu wa kyela na ndio maana hujaguswa na shida ya maji .
 
Hatuwezi kuwa na mbunge anayeshindwa kueleza shida za jimbo lake , lakini yuko kimbelembele kushabikia Azory Gwanda kupotea
Mwakyembe mzeee wa maneno maneno tuuu. Na kudandia mambo wanayo yafanya wengine na kuayashikia kidete kiuharisia mwakyembe hafai kua mbunge
 
"Uhangaike kwa njia ya kujidhalilisha " like seriously..?? ..

Ww ni mtanzania kutoa kero yako kwa RAIS sio kujidhalilisha.

Mbunge wenu mnamjua kwanza nahis toka apate ubunge ndo kaend mwaka huu kweny ziara ya RAIS.

Point yangu ni kwamba Usi generalize ziara nzima ya RAIS KYELA kwamba haijaleta manufaa. Anawez akawa hajakusa secta ya maji coz (mmekaa kimya wote wananchi na mbunge wenu=manyumbuz) but kuna Sehemu nyingine RAIS lazim atazigusia.

Note : kabla hujataka RAIS akufanyie jambo Mahala pako jiulize ww umef una impact gani kwa watu wako.
Ningekuona shujaa kama ungekuwa mstari wa mbele kutoa hoja yako ya maji kwa niaba ya jamii yako ukizingatia mna mbunge ambae hawajali.. Lakin kwakuw unaogopa kujidhalilisha basi usimlaumu RAIS kwamba et hajaleta manufaa yyte ziarani.

Huna lolote mkuu , Mwakyembe ambaye ni mbunge wa eneo hilo mbona kanyamaza , yaani unataka mimi nihangaike kwa njia ya kujidhalilisha ? kwanza yule mama mwenye mtoto aliyelawitiwa ule ni mchongo wa kumpandisha cheo Michael Mteite kama malipo ya kumfunga Sugu.

Mwisho lakini si kwa umuhimu sana : wewe si mtu wa kyela na ndio maana hujaguswa na shida ya maji .
 
so law Labda kama wewe ni mgeni hapa JF au labda hunifuatilii , Mimi ni mzaliwa wa Kajunjumele na nimepigania maendeleo ya kyela gizani na hadharani bila uoga wowote , nimetumia pesa binafsi kufanya mema Kyela , mimi pamoja na Chadema Kyela tumefufua visima vilivyotelekezwa mjini kyela kwa miaka mingi sana , tumezungumza na viongozi wa kyela kuhusu shida za kyela mara nyingi mno , Amos Makalla ni shahidi , lakini wanaona kama shida za kyela zikitatuliwa sisi tutapata kiki , sasa unataka tufanye nini zaidi ya haya ?
 
Baada ya Mabomba ya Maji yaliyowekwa na Mabeberu wa DANIDA miaka mingi iliyopita kuziba na miundo mbinu yake kuharibika , hivyo kusababisha wananchi wa vijiji vya Kyela kuendelea kutumia visima na maji ya mito yasiyo salama , tulitegemea ziara ya Mh Rais Wilayani hapa ingechagiza ufumbuzi wa jambo hili lakini kwa bahati mbaya imekuwa kinyume chake.

Vijiji kama Isaki , Kabanga , Kasumulu , Lubele , Ngana , Mbako , Kilasilo , Ibungu , Lupembe , hadi Ikolo , ambavyo vilinufaika na mradi wa maji wa DANIDA vimekuwa na tatizo la maji salama kwa kipindi kirefu mno , tulitegemea mbunge Mwakyembe angeomba msaada kwa Rais ambaye sasa imefahamika kwamba anatembea na miradi yake mfukoni hata kama haikupitishwa na Bunge , ili asaidie vijiji hivi kupata maji kama ilivyokuwa kwenye mradi wa DANIDA

Ikumbukwe kwamba Wilaya ya Kyela ni miongoni mwa Wilaya zinazoshambuliwa mno na Kipindupindu , huku sababu zinazotajwa imo hii ya kukosa maji salama
Kote huku Ikolo, Ngonga, Isanga, Ukienda Kule Ngyeke, Makwale, Ngeleka ya Kyela na Maeno Kibao kote Wananchi wanakunywa Maji ya Visima , Mabomba yapo kama Mapambo.

Mungu anisamehe tu, ila Mwakyembe kadhalilisha saana Wanyakyusa, Kujipendekeza yupo Juu ila hakuna Matokeo Chanya ya Kujipendekeza Kwake!
 
Kule katumba songwe tegemeo limekuwa mto songwe !
 
Labda kama wewe ni mgeni hapa JF au labda hunifuatilii , Mimi ni mzaliwa wa Kajunjumele na nimepigania maendeleo ya kyela gizani na hadharani bila uoga wowote , nimetumia pesa binafsi kufanya mema Kyela , mimi pamoja na Chadema Kyela tumefufua visima vilivyotelekezwa mjini kyela kwa miaka mingi sana , tumezungumza na viongozi wa kyela kuhusu shida za kyela mara nyingi mno , Amos Makalla ni shahidi , lakini wanaona kama shida za kyela zikitatuliwa sisi tutapata kiki , sasa unataka tufanye nini zaidi ya haya ?
Achana na Mshabiki asiyejua anashabikia nini huyo! Kyela hatuna Mbunge, Mwakyembe Janga Kubwa mno, Mwakipesilie na yeye hakuna Tofauti.
 
Mwakyembe mzeee wa maneno maneno tuuu. Na kudandia mambo wanayo yafanya wengine na kuayashikia kidete kiuharisia mwakyembe hafai kua mbunge
Hilo la Ubunge wanakyela tuliamua tangu 2015 , ila Polisi na DC waliamua yao
 
Mwakyembe anajuwaga kuwachezea akili pipo wa kyela sana ikifika wakati wa uchaguzi.Ki ufupi Mwakyembe kyela hawamuwezi utakaa kulalamika mitandaoni tu.
 
Zaidi ya wizi wa kura hana kingine , Mwakyembe hana uwezo hata wa kuitisha mkutano wa hadhara Kyela , nyie kaeni pale Sativa muendelee kumlia hela zake
 
Ndugu, Kumbe wanamlia Pesa pale Sativa,Hata Bhaling'onye bila shaka? Alimpiga Vita Mzee Andilile wa Mango Tree na Mwakalinga! Ajiandae tu Mnafiki huyu! Nasikia Kuna Vijana sasa hivi wako Pale wanamchachafya mpaka Mwakyembe halali.
 
Back
Top Bottom